Wachawi kumbe mnashirikiana na wanasiasa?

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,679
Ni hivi karibuni tuliona tamko lenu mkiwatisha wagombea kuwa Mtu atakaye mpinga mgombea mnaye muunga ninyi mkono mtu huyo atakiona cha mtema kuni. Uzuri matamko yenu mliyatoa hadharani kabisa na tena mchana kweupee bila ya hofu mara mbili. Hii ina maana matendo yenu ninyi wachawi na mliye muunga mkono yalikuwa yana fanana kwa kuwa ndege wa aina moja huruka pamoja.

Sasa tunawaulizeni Maswali yupo wapi yule mliye muunga mkono na kuwatisha watu wengine? Mlifikiri Mungu anatishwa na wanadamu? Yaani sisi wacha Mungu na wenye akili tuwepo hai halafu niyi wachawi na vigagula ndio mtuchagulie kiongozi? Yaani wachawi na vigagula mlifikia hatua hii kweli kujiona sasa na ninyi mnatawala. Hakika Mungu ni Mkuu na matendo yake yanatisha kama nini.

Mungu hadhihakiwi chochote apandacho MTU ndicho atakacho vuna.Hata mfalme Daud alipo mpora mke wa askari wake Mungu hakumuacha alimpiga sembuse Mchawi tuu atishe watu? Mungu hapendi uonevu anataka haki wachawi muwe mnaelewa. Wanasiasa mtegemeeni Mungu.

Kazi ziendelee.
 
Hata matapeli wakubwa kwa wadogo ni wateja wao.

Wanawahakikishia kuibia watu kudhulumu mali na haki za watu bila kukamatwa na Polisi wala kudhurika na chochote.

Wavamizi wa ardhi za watu wengi hutegemea uchawi
 
Ni hivi karibuni tuliona tamko lenu mkiwatisha wagombea kuwa Mtu atakaye mpinga mgombea mnaye muunga ninyi mkono mtu huyo atakiona cha mtema kuni. Uzuri matamko yenu mliyatoa hadharani kabisa na tena mchana kweupee bila ya hofu mara mbili. Hii ina maana matendo yenu ninyi wachawi na mliye muunga mkono yalikuwa yana fanana kwa kuwa ndege wa aina moja huruka pamoja.

Sasa tunawaulizeni Maswali yupo wapi yule mliye muunga mkono na kuwatisha watu wengine? Mlifikiri Mungu anatishwa na wanadamu? Yaani sisi wacha Mungu na wenye akili tuwepo hai halafu niyi wachawi na vigagula ndio mtuchagulie kiongozi? Yaani wachawi na vigagula mlifikia hatua hii kweli kujiona sasa na ninyi mnatawala. Hakika Mungu ni Mkuu na matendo yake yanatisha kama nini.

Mungu hadhihakiwi chochote apandacho MTU ndicho atakacho vuna.Hata mfalme Daud alipo mpora mke wa askari wake Mungu hakumuacha alimpiga sembuse Mchawi tuu atishe watu? Mungu hapendi uonevu anataka haki wachawi muwe mnaelewa. Wanasiasa mtegemeeni Mungu.

Kazi ziendelee.
Acha unafiki Kama ingekuwa hivo unavofikiria wewe, basi Mungu angeshafuta wachawi wote fala wewe. Hivi unajua madhara ya uchawi!? Mtu unageuzwa msukule akiwa mdogo anaishi gizani miaka 30 mpaka 70 kwenye mateso au unalazwa kitandani miaka 10 plus mpaka unaoza na kufilisika. Watu wanakuharibia maisha mpaka unachanganyikiwa..
Anyway sababu ya mtu kufa Kwanza Ni Qadari... iwe ugonjwa, uchawi au ajali. Ni mapenzi ya Mungu, Wala wewe huwezi kujua sababu. Kama mtu anakufa kwa mateso mabaya anayo wapa wenzie basi angeanzaga kufa shetani na wachawi wote wasingekuwepo.
Mafundisho ya Allah, anasema mamlaka ie kiongozi, mfalme(Rais) Ni kivuli cha Muumba. Hakuna kiongozi anayetawala bila kuwekwa na Mwenyezi Mungu.
Na M/Mungu anasema wazi akiamua kuiadhibu jamii Fulani basi atawapa kiongozi Muovu na akiamua kuipa zawadi jamii Fulani basi atawapa kiongozi Mzuri. Na kupewa mzuri au mmbaya Ni chumo la matendo ya jamii husika.
Hayo Ni mafundisho ya Uislamu, I stand to be corrected.
Leo wanasiasa wapiga ramli, mafisadi, waongo, majambazi, wachawi, wazinzi na walawiti eti wanasimama hadharani kusema JPM amekufa kwa sababu ya matendo yake. Matendo yao yanawapa uhalali wa kuwa hai?
Wao wanausafi gani? Kama Ni wasafi kiasi hicho kwa Nini asiwape uongozi.
 
Hata sasa naamini utukufu wa Mungu utajiinua wanaobambikia wenzao Ugaidi watakiona cha mtemakuni wapuuzi sana maccm
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom