Wachangie CCM Wenzangu, CHADEMA haiwahusu.

Kidumu chama cha Mapinduzi.

Ndugu Makada wenzangu, kama mjuavyo siku zinazidi kupepea na mwaka 2015 ndio huo unatunyemelea kwa kwasi.

Hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu ni shwari licha ya changamoto za hapa na pale tunazokumbana nazo, mathalan kutokana na udhaifu wa baadhi ya wadau tuliowapa jukumu la kuendesha serikali.

Nadhani imefika wakati tuanze KUANDAA mazingira mazuri ya atakayepokea kijiti cha Urais 2015. Hii haimaanishi kwamba kuacha kuwatumikia wananchi na kutekeleza ilani ya chama la hasha, ni sehemu ya mchakato.

Kwa maoni yangu nadhani hakuna mtu tunayepaswa kumuachia kijiti zaidi Lowassa. Nchi yetu inahitaji mtendaji atakayesukuma gurudumu kwa ustadi na kasi pasipo kuhatarisha umoja wetu. Nadhani tumfariji na kumpa ushirikiano ktk kipindi hiki kigumu anachopitia ili kuitimiza azma hii.

Wenu,

Kada.

Mimi CUF naona hujatuwekea objection pengine unaogopa sana CHADEMA lakini nakushauri uwaombe mods wawawekee jukwaa lenu tu wanaCCM aka magamba ful mafisadi. Hivi aliyekudanganya CCM wapo JF ni nani watu wenyewe wote wazee hawajui hata Computer ni nini kawatafute huko Nanjilinji, Liwale na Masasi amabako nako kushaingiliwa sijui mtakimbilia wapi. Mwaka huo mbona hamna mtu wa kumimamisha kukabiliana na presha ya wapinzani?
 
Huyo lowasa wenu ndio atakuwa bus letu la magogoni 2015,na mnavyo muogopa lazima mmpitishe na itakuwa imekula kwenu.
Fisadi maarufu,kiboko ya Nape.

Watu,peeeopppppleeeeeeeeeeeeeesssssssssssss poooooooooweeeeeeeer
 

Taifa linamtambua kama waziri mkuu mstaafu...tusishindane kiswahili.

Hayo ni majibu ya watu waliochoka kufikiri! Yaani wewe kila kitu unachoambiwa na Marin Hassan Marin (read TBC1) basi unakichukulia kama a WORD OF GOD bila kuishughulisha akili yako?! No wonder hadi leo unaamini kwamba comes to 2015 Kikwete ataifa Kigoma kuwa Dubai Ya Tanzania!
 
Mkuu, naona wanaccm wenzio wameingi mitini, umeachwa peke yako kujibishana na wanacdm tu! Nadhani ccm ni kama biashara ya juice ya bamia, haiuziki.
 

Taifa linamtambua kama waziri mkuu mstaafu...tusishindane kiswahili.
taifa gani unalozungumzia inamaana sisi watanzania tumo humo kwenye hilo taifa au?kama tumo basi umechanganya vipande vya miwa kwenye uji wa ngano.usitulazimishe kuamini tusichoaminika ,usituingizishe kwenye imani potofu inamaana wewe ukiulizwa waziri mkuu nani utajibu EL,KUNA WAKATI HATA WAZUNGU HUMVALISHA MBWA WAO MASWETA NA MAKOTI NA NGUO PIA ILHALI WANAJUA HUYU MNYAMA MUNGU HATAKIWI NA HIVYO VITU ,ILA WANALAZIMISHA NA MBWA MWENYEWE HUJITIKISA KUANGAIKA KUJIVUA ILHALI WANAENDELEA KUMVISHA ,HUYU EL ALIJION MWENYEWE KIZIBO ,MWIZI, RICHMONDI ZIGO LAKE AKAKIMBIA SASA WEWE UNAYEMTAMBUA M,TAMBUE TU ,ALISTAAFIA NYUMBANI KWAKO AU ,WACHA KUTETEA DHAMBI KUNA DAMU NYINGI NA LAANA KUBWA KWENU NYINYI MAGAMBA,WATU UNATETEA NINI HAPA WEWE
 
Bangi mbaya sana jamani, sasa hii thread si ungepeleka kwenye blog ya ccm, kwani hujui kama wana blog siku hizi, kiufupi umelewa kabla ya kuja au unajaribu kufanya mazoezi ya typing
 

Nadhani hii thread haikuhusu, kwa kuwa si mmoja wetu..
hao uliowaandikia yaani magambaz mbona hawaji kukusuport,hujui kama umebaki peke yako kama mchawi,subiria 2015 ndio utajua dhamira yetu,dhaifu we!
 

Taifa linamtambua kama waziri mkuu mstaafu...tusishindane kiswahili.

Nina wasiwasi na wewe uliyeanzisha hii thread. Unaweza ukawa JK.

1. Lowasa alijiuzulu, leo anaitwa Mstaafu. Tena unasema taifa linatambua hivyo.

2. Wezi wa EPA waliorudisha hela walizoiba, sio wezi tena. Taifa linatambua hivyo.

3. Majina ya wauza unga wakumbwa mliletewa, hakuna kesi. Taifa linatambua hivyo.

4.
5.

Naona dhana ya "U-Dhaifu" ni sifa yenu na wala si vinginevyo.
 
Nakumbuka maneno haya: Tatizo ni UWAZIRI MKUU....la hasha tatizo ni UFISADI uliofanya EL ajiuzuru and He was a sacrificial lamb to save shame of his party.
 
Ume vuta bangi ya wapi wewe?
Huyu fisadi mkubwa yaani ndio unataka awe rais?
Nyambavu kabisa veve!
 
Wana CCM Mmefilisika kiasi hiki? Yani hamjapata hata mtu mmoja mpaka munamuwaza EL..Ninawahakikishia 2015 Mkimsimamisha huyu Mwizi Ndo Mtakuwa Mnatupa CDM Njia rahisi sana ya Kuingia Ikulu..ni hayo tu Mkuu
 
Hawezi chaguliwa kupiti JF au Wananchi ni mpaka apitishe na Halmashauri Kuu ha hatimae Mkutano Mkuu wa Chama.
Pia Leroy kumbuka mwaka huu 2012 ndio wa Uchaguzi Chama na Sheria sasa inataka Mjumbe wa H/kuu atatoka kila Wilaya na hatakiwi awe Mbunge sasa ndugu yenu na kundi lenu tafuteni njia ya kufikia uteuzi huo 2015 maana mmeanza. Mnachokimbilia mapema mbona hakipo?
 
CCM kuongoza nchi hamuwezi tena, mmefika mwisho, lakini kwa maswala ya ugoni nawapa HEKO....
 
Yule marehemu Msanii Angello wa nchini Ufilipino kwenye filamu ya 'The Gardener's Daughter' atakua amefufuka na kupanga ziara CCM Chamwino kule Dodoma kukihamasisha chama cha wenzetu hiki au ndio vipi tena??
 
Back
Top Bottom