Wachangiaji wapinzani Bungeni kama movie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachangiaji wapinzani Bungeni kama movie

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Charles Ignatio, Jun 17, 2011.

 1. Charles Ignatio

  Charles Ignatio Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Nimekuwa nikifuatilia Bunge kwa siku hizi mfululizo lakini nikagundua kwamba pale anaposimama mpinzani kutoa mchango wake wabunge wa ccm wamekuwa watitulia kama vile wanaangalia cinema mpya ambayo imeingizwa sokoni jana. yaani wengine inaonekana wazi kwamba hawajui kinachoendelea hapa nchini,wamekuwa wakishangaa na kubaki wanaduwaa.
  na wengine wameonekana wakisamama na kusema wanaunga hoja mkono asilimia mia kwa mia . sasa mi kama mtu makini nashindwa kuelewa kwa nini wanaendelea kuongea na kusema wanashauri sehemu fulani zilekebishwe huku awali wameisha sapoti asilimia mia kwa mia.

  WANAJAMII EBU NISAIDIENI KWA HILI
   
 2. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ukishakuwa mbunge wa CCM ukitembea mtaani unaonekana vibaya sana, maana nimeshuhudia mpaka makada wa chama hawapendi chama tena lakini bado wapo kwa ajiri ya kipato. Hawana brain ya kutafakari zaidi ya kuwaza posho
   
 3. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Siku hizi kuvaa kijani na kupita mitaani niabidi uwe na moyo mgumu sana
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Kuwa mwanachama wa ccm ni kujidhalilisha mbele ya jamii iliyopigika ya tanzania. ni afadhali usiwe na chama kuliko kuwa ccm.

  Kuwa mwanachama wa chadema ni ujanja, ujasiri na uelewa wako unaonekana ni mpana mbele ya jamii.
   
 5. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,532
  Likes Received: 1,020
  Trophy Points: 280
  Aaah! Acheni hizo mimi nitavaa tu kwa sababu ni mwana YANGA! Haya ndugu yangu mimi nacheka Ole Sendeka anajisifu kwa kusema kuwa Tanzania ina viongozi wanaofanya kazi kwa viwango vya kisasa vinavyokubalika duniani kote!
   
 6. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hata wewe unahitaji marekebisho kwenye malekebisho yako ndio tuunge hoja yako mia kwa mia.
   
 7. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Nikiwa kwenye daradara wiki iliyopita jijini mwanza,katika kituo fulani akapanda jamaa mmoja amevaa nguo za CCM konda alipomuangalia vizuri wakati amekaa kwenye siti wacha amshushe.Jamaa akashuka bila ubishi na kuludishiwa nauli yake.

  Ukivaa nguo ya CCM uwe na moyo wa jiwe
   
 8. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Dar young african wana kazi kwelkwel itabidi wabadilishe zeji wavae rangi za chadema hehehehehe
   
 9. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Kaka Yanga iweke moyoni ila usivae kijani na njano mkuu!
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Yaani huyo jamaa mpaka amekaa kwenye siti konda hajamwona ina maana aliingia kwa dirishani au unataka kutuletea story anyway umejitahidi lakini.......
   
 11. s

  sawabho JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  CCM kama mzazi au mlezi wa vyama vingine na wewe ukiwemo lazima kuna makosa imefanya au inafanya, asas ikiwa CCM ndiyo mzazi wa vyama vingine kinapsawa kukoselewa kwa heshima na akili pale kinapoenda kombo. Je, wewe mzazi wako akikosea unamwambia moja kwa moja kuwa Baba au Mama hapa umekosea? Mbona unatumia lugha nzuri kufikisha ujumbe? Kwa nini utmie lugha mbaya kwa chama ambacho kimekutoa mbali?
   
 12. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,082
  Trophy Points: 280
  ...umesahau Mwalimu alivyosema kuwa enzi hizo ikifika zamu ya Tanzania katika mikutano ya kimataifa kila mshiriki anakaa kwenye kiti vizuri kusikiliza 'points'. Lakini (wakati akieleza haya) ikifika zamu ya Tanzania ndiyo wakati wa kwenda kutafuta chai, kuongea na simu au kupata upepo nje ya ukumbi! Hiyo ilikuwa mikutano mikubwa ya kimataifa na sasa imehamia kwenye Bunge letu tukufu ...nadhani sasa umeelewa Mwalimu alichomaanisha!
   
 13. Charles Ignatio

  Charles Ignatio Member

  #13
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  unaweza kupigwa mawe au kuchomwa moto watu wana hasira, MI ccm siwaonei huruma hata kidogo kama walizoea vya bure mwaka huu kazi kwao
   
 14. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Naamini ulimaanisha mavazi yao ya michezo
   
 15. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #15
  Jun 17, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ccm hakiwezi kuwa mzazi mzuri kwani mara kadhaa wakati wa mimba ya vyama vingi kimejaribu kunywa dawa za kutolea mimba ila kwa mkono wa mungu mtoto kazliwa(upinzani) bado kwenye chuchu alipaka pilipili.
  Sasa mtoto kawa mkubwa na amehadithiwa yote na mengine ameshuhudia.
  Kwa hiyo si lugha mbaya tu hata kuikorogea sumu ccm ni sawa tu.
   
 16. Baba Sharon

  Baba Sharon JF-Expert Member

  #16
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 374
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Hapo wewe upo sawa naona ni bingwa wa kukosoa wenzako............Halafu unacheka
   
 17. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #17
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hata mimi mkuu ninapoangalia bunge anapochangia mbunge wa ccm huo muda huwa natumia kupiga pafu nyingi za bia na kuanzika sms kwenye simu yangu .....cdm akichangia, peni mkononi nachukua points tu.
   
 18. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #18
  Jun 17, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,595
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  Bingwa wa rivasi
   
 19. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #19
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,497
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  ccm si mzazi wa chama chochote cha upinzani - hata kupewa registration no.1, ilifanywa maksudi wakaichelewesha NCCR-Mageuzi.
  ccm si mlezi wa chama chochote cha upinzani, ingekuwa ni mlezi asingechakachua uchaguzi na kutaka vife.
  Ujue pia kuwa kuiambia ccm imekosea ni heshima kubwa sana, vinginevyo upinzani ungeweza kukaa kimya (wasiiambie) na ccm ingejikuta imeanguka.
  Kama ni lugha ya staha wenyewe ccm wanaitumia? Je vitendo vya serikali ya ccm vina staha?
  Nendeni mkale majani ....
  hata mfanyeje ndege lazima inunuliwe tu.....
  mnazaa watoto mnataka nani awalelee?......
  na juzi hiyo ya mkulo.........
  Hizo lugha unazionaje? au mkuki kwa nguruwe?
   
 20. oba

  oba JF-Expert Member

  #20
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  You support and then you nagate, ujinga huo!
   
Loading...