Uchaguzi 2020 Wachangiaji wa DW wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto kali kwa Rais Magufuli

Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli.
Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu Lissu bado ana sifa nyingine lukuki za kumbeba ikiwemo umahiri wake KISHERIA kama Wakili na mchango wake katika kutetea MADINI YA WATANZANIA yasikwapuliwe na Wawekezaji Uchwara...!!

http://dw.audiostream.io/dw/1002/mp3/64/dw-radio-english
[/QUOT
Nimewasikiliza wote mwanzo mwisho. Mtangazaji amechukua watu wa upande mmoja. Mjadala haukuwa na mizania sawa
 
Hawajielewi mfano sisi CCM tulimptisha si kuwa akampe changamoto mgombea yeyote wa Cham a chochote Bali tunayeamini ataisimia na kuitekeleza ilani ya CCM

Lisu kumtuma eti akampa changamoto Magufuli mumeshindwa siasa tayari

Kwa Chadema anayeonyesha wazi kuelewa akiteuliwa atasimamia Nini Ni Nyalandu tu yuko organized, focused na ana hadhi ya muonekano wa kiraisi kuanzia lugha yaki staarabu na Wasifu wake umejaa barabara maeneo yote kuanzia kiuchumi ,kisiasa ,kimaadili,kidini na uwezo wa kumchukulia a na watu wote ndani na nje ya Chadema.Ni rafiki wa kila mtu Hana adui yeyote ndani na nje ya Chadema.Ana siasa za kushindanana kwa hoja Sio matusi na kejeli kwa yeyote au chama chochote

Ana pesa za kuendesha kampeni bila kubebesha mzigo chama au wanachama tofauti na Lisu ambaye alianza Kuomba kuchangiwa pesa Hadi za kuchukua fomu
Baba ako magu hizo sifa ulizotaja anazo? Alikuwa na pesa ya kuendesha kampeni so kabla huja mnanga lisu jiulize upande wako ww kwanza
 
Nimepata maoni yako na nayaheshimu sana. Ila mimi siko upande wa mtu yeyote, bali upande wa ukweli. Na kwa taarifa chama changu cha siasa ni Taifa letu, Tanzania yetu!
Niwewasikiliza wote mwanzo mwisho. Muandaaji wa kipindi aliwachukua watu wa upande mmoja hivyo kufanya mjadala ukose mizania
 
Mje na takwimu maana hizi si zama za uropokaji..mkishushwa kwenye majukwaa msimlaumu mtu
Haihitaji takwimu kuona ni jinsi gani vijana wanataabika mtaani bila ajira, kukosekana kwa soko la mazao yabiashara hasa korosho na utapeli uliofanywa na serikali, upotevu wa trilion 1. 5 ,kuminywa kwa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari, Bunge kupitisha sheria kandamizi ( Kikokoteo kwenye mafao) na mengine mengi.
 
Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli.
Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu Lissu bado ana sifa nyingine lukuki za kumbeba ikiwemo umahiri wake KISHERIA kama Wakili na mchango wake katika kutetea MADINI YA WATANZANIA yasikwapuliwe na Wawekezaji Uchwara...!!

http://dw.audiostream.io/dw/1002/mp3/64/dw-radio-english
Wachangiaji wote hao walikuwa mitandaoni maana sisi chadema tunaambiwa tuko mitandaoni tu. CCM will never agree this urgly truth
 
Haihitaji takwimu kuona ni jinsi gani vijana wanataabika mtaani bila ajira, kukosekana kwa soko la mazao yabiashara hasa korosho na utapeli uliofanywa na serikali, upotevu wa trilion 1. 5 ,kuminywa kwa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari, Bunge kupitisha sheria kandamizi ( Kikokoteo kwenye mafao) na mengine mengi.
Kila kitu kiko obvious Rais Magufuli ajitafakari kama anaweza kuendelea au atupishe tu. Ameharibu ndoto za watanzania wanaopenda nchi yao.
 
Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli.
Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu Lissu bado ana sifa nyingine lukuki za kumbeba ikiwemo umahiri wake KISHERIA kama Wakili na mchango wake katika kutetea MADINI YA WATANZANIA yasikwapuliwe na Wawekezaji Uchwara...!!

http://dw.audiostream.io/dw/1002/mp3/64/dw-radio-english
Hao wachangiaji wa DW nawafahamu wote ni cdm members
 
Si kweli! Mimi si mwanachama wa CHADEMA na sijawahi kuwa mwanachama wake. Ila nimewahi kuwa mshauri tu (Political Consultant), hususan kumshauri Mbowe.

Hadi sasa nawashauri watu wote, wenye vyama na wasio na vyama. 2004 niliongoza jopo la watu watano kutunga sera mbadala za chama kabla Mbowe hajawa Mwenyekiti. Pia nilihusika kufanya marekebisho makubwa ya katiba.

Nimewahi kuanzisha chama (HAMASA) mwaka 2001, nimewahi kujiunga vyama vingine viwili tofauti, lakini vyote havikupokea ushauri wangu, nimebaki kuwa mwanasiasa huru kabisa!

2015 niligombea Ubunge Jimbo la Busokelo wilayani Rungwe kupitia ACT-WAZALENDO. Nikagaragazwa vibaya na mgombea wa CCM. Kwa taarifa kwa sasa chama changu cha siasa ni Taifa letu, Tanzania yetu!
Hao wachangiaji wa DW nawafahamu wote ni cdm members
 
Nifupishe mchango wangu wa DW kwa kusema Tundu Lissu awe kama Nelson Mandela. Apate neema na moyo wa kuwa na maridhiano ndipo ataheshimika zaidi na kuonekana muungwana na mwenye hekima. Aidha, atajengeka zaidi kisiasa na kuzidi kuwa maarufu kuliko wabaya wake.

Msamaha, uvumilivu na kupuuzia uovu dhidi yako (pale inapobidi), ndiyo silaha pekee ya mnyonge kummaliza mwenye nguvu. Unakuwa na nguvu kubwa ya umma nyuma yako ambayo kamwe haishindwi na mwovu yeyote!

Ni ngumu sana, lakini vitu vyote vizuri na vyenye thawabu kubwa huwa ni vigumu kuvipata. Yataka moyo na uvumilivu makubwa!
 
Mjadala Ulikuwa Ni Mzuri.

Mapungufu Ya Mjadala Yameonekana Pale Wajumbe Kwa Umoja Wao Kuwataja Watesi Wa Lissu.....

Ni Kama Kwamba Lissu Anaombwa Akutane na Kuonana Na Watesi Wake.......

DW na Jopo Lake Katika Mjadala Huo Wanawafahamu Na Kuwajua Watesi Wa Mh.Tundu Lissu.

Kwa Muktadha huo,wangetusaidia wananchi kutueleza nasi tuwafahamu hao WATESI wa Lissu Kwa MAJINA na Haiba......

Muuza Al Kasus,
Tandale Kwa Mtogole
 
U
Idhaa ya Sauti ya Ujerumani(DW) unaendelea LIVE. Wachangiaji wanasema Tundu Lissu atatoa changamoto Kali kwa Rais Magufuli.
Mbali na sifa ya SHAMBULIO LA JARIBIO LA MAUAJI ambalo limemjenga Tundu Lissu bado ana sifa nyingine lukuki za kumbeba ikiwemo umahiri wake KISHERIA kama Wakili na mchango wake katika kutetea MADINI YA WATANZANIA yasikwapuliwe na Wawekezaji Uchwara...!!

http://dw.audiostream.io/dw/1002/mp3/64/dw-radio-english
Ulitegemea akina gwandumi na malisa waongee nini?
 
Tundu Lissu mwenyewe alitaja na anaendelea kutaja watesi wake wengi, japo si wale tu waliompiga risasi. Ana orodha ya wengi! Alimtaja Spika Ndugai kuwa kamnyang'anya ubunge na kupeleka shauri mahakamani. Alisema alinyimwa stahiki zake bungeni ikiwa pamoja na fedha za matibabu. Yeye anawaona hao ni watesi wake pia!

Aidha, mara kadhaa kawataja "watu" si "wanyama" wasiojulikana. Anajua waliompiga risasi ni watu hata kama hawajui kwa sura na majina. Nao anaweza kuwasamehe na kuachana nao ilimradi alipona na sasa kapona kabisa. Si lazima mpaka awajue na kisha akae nao meza moja!

Kailaumu mno na kuitilia sana shaka serikali na polisi kwa kutofuatilia wasiojulikana na kuwashtaki. Serikali ipo, jeshi la polisi lipo. Anaweza kukaa nao wote na kufunga mjadala huku akimwachia Mungu awezaye kulipa kisasi kuliko yeye awezavyo.

Na zaidi sana ampe Yeye Sifa, Heshima na Utukufu, maana kwa hakika Ndiye aliyemwokoa na uovu na kumwepusha na umauti.
Mjadala Ulikuwa Ni Mzuri.

Mapungufu Ya Mjadala Yameonekana Pale Wajumbe Kwa Umoja Wao Kuwataja Watesi Wa Lissu.....

Ni Kama Kwamba Lissu Anaombwa Akutane na Kuonana Na Watesi Wake.......

DW na Jopo Lake Katika Mjadala Huo Wanawafahamu Na Kuwajua Watesi Wa Mh.Tundu Lissu.

Kwa Muktadha huo,wangetusaidia wananchi kutueleza nasi tuwafahamu hao WATESI wa Lissu Kwa MAJINA na Haiba......

Muuza Al Kasus,
Tandale Kwa Mtogole
 
Tundu Lissu mwenyewe alitaja na anaendelea kutaja watesi wake wengi, japo si wale tu waliompiga risasi. Ana orodha ya wengi! Alimtaja Spika Ndugai kuwa kamnyang'anya ubunge na kupeleka shauri mahakamani. Alisema alinyimwa stahiki zake bungeni ikiwa pamoja na fedha za matibabu. Yeye anawaona hao ni watesi wake pia!

Aidha, mara kadhaa kawataja "watu" si "wanyama" wasiojulikana. Anajua waliompiga risasi ni watu hata kama hawajui kwa sura na majina. Nao anaweza kuwasamehe na kuachana nao ilimradi alipona na sasa kapona kabisa. Si lazima mpaka awajue na kisha akae nao meza moja!

Kailaumu mno na kuitilia sana shaka serikali na polisi kwa kutofuatilia wasiojulikana na kuwashtaki. Serikali ipo, jeshi la polisi lipo. Anaweza kukaa nao wote na kufunga mjadala huku akimwachia Mungu awezaye kulipa kisasi kuliko yeye awezavyo.

Na zaidi sana ampe Yeye Sifa, Heshima na Utukufu, maana kwa hakika Ndiye aliyemwokoa na uovu na kumwepusha na umauti.

Tundu Lissu Hajaanza Kuishi Baada ya Kushambuliwa pale Dodoma....

Huko Nyuma Katika Mapito Yake amekuwa na WATESI Kama ambavyo Mimi,wewe na wengine tulivyokuwa nao,tunao na tutaendelea kuwa nao vile Mungu atakavyozidi kuruhusu pumzi ZETU hapa duniani.

Sidhani Katika ule mjadala wa mwenyekiti Khelef,mlikuwa mnataka kutueleza juu ya WATESI wake wote maishani mwake bali ni wale waliofanikisha KADHIA iliyomtia ulemavu.

Na hapo ndipo nilipojikita kihoja ya kwamba wewe Ngwandumi na wenzako muisaidie Polisi Yetu Kuwatajia wahusika wa kadhia ile iliyomtia Ulemavu mh.Lissu.

Tulipofikia Polisi Haijatupa maelezo yoyote japo ya kwamba imepita miaka 3 ninaamini wameshindwa na kushindwa kwa taasisi si Jambo la ajabu kwa Maana Kuna visa vingi "AILA" ya Lissu vimeshindwa kupatiwa ufumbuzi duniani kote.

Ni imani yangu kubwa bwana Khelef atatuwekea mjadala mwingine siku za usoni mkitupa mrejesho wa mlichowasaidia Polisi pale pa kuanzia.
 
Labda hukumsikiliza vizuri Luqman Maloto aliyoyataja kuwa ni madhila na mateso aliyopitia TL! Mimi nitaendelea kuwasamehe na kuwapuuzia mbali watesi na/au maadui wangu kadri nitakavyojaaliwa kuishi. Hakuna mwisho wa kusamehe, kuridhiana na kupatana maana watu hatuachi kukosea na kukosana!

Back
Top Bottom