Wachambuzi, watangazaji, waandishi na uongozi katika michezo imekaaje!

pamoja na uchambuzi wao lakini watoto lazima waende chooni, wasome shule nzuri na n.k sasa usipo pata mahari pa uhakika hayo yote yatakuwa adimu..
 
Habari za mda huu wadau!
Kwa mda sasa wale tunaowafaham kama watangazaji na wachambuzi wa soka wamejikita katika uongozi wa soka mfano Eddo msemaji wa coastal union, Ibrahim Maestro ni boss wa bench la ufundi pale simba, Kamwaga toka uandishi hadi usemaji wa msimbazi Shaffih nae nasikia anagombea pale DRFA!
Mimi najiuliza kuna nn katika uongoz?
Je hawawezi kukaa pemben kuendeleza uchambuzi na kukosoa pale pabovu sababu nadhan itakuwa ngum kukosoa sehem ya kibarua chakn!
Pia inabidi wawe makini wakati Angetile Osiah akipewa ofisi pale TFF wadau walimuona anafaa but kwa sasa amekalia kitimoto!
Ushaur wang wawe kama Dr. Leakey mchambuzi wa siku nyingi asiyetaka uongoz wa soka!
Swali langu je ni sahihi watu hawa kuwa viongozi wa soka au wabaki katika uchambuz?
Asanten.......,...,...,.

Ricky Abdallah alikuwa kiongozi wa BMT kipindi fulani, be informed.
 
Back
Top Bottom