Wachambuzi wa mambo ya siasa tunaowasikia au kuwaona kwenye vyombo vya habari wanalipwa kwa uchambuzi wao au ni bure?

deo paul555

JF-Expert Member
Oct 22, 2018
1,405
520
Habari wadau, kwa siku nyingi nimekuwa msikilizaji wa radio na kutazama Tv kumekuwepo wachambuzi wa mambo mbalimbali huitwa kutoa uchambuzi wao. Je hulipwa na vyombo hivyo?
 
Au amuulize Katibu Mkuu wa CCM zamani nae akiwa UDSM amefanya sana hizo mambo BBC
Sijui ni Bure au ni hela hupewa
Labda tumuulize mohamedi Issa Wa morogoro mchambuzi Wa maswala ya mashariki ya kati beberu broadcasting coperation(BBC) humtumia sana.
 
Ni natafuta koneksheni ya kutafsiri tamthilia AZAM TV au star time naomba alie karibu na hizi vyombo aniunganishe.

Maelekezo ni njia zipi nipitie kufanikisha huu mchakato,elimu yangu ni darasa LA saba,kabila mtanzania.
 
Startimes nilishaonaga wameandaa mashindano yakuwatafuta watia sauti za kiswahili katika tamthilia zao sijajua kuhusu Azam utaratibu wao upoje
 
Back
Top Bottom