Wachambuzi kwanini mnataka sana Mohammed Hussein abaki Simba? Meneja wake ndiye atakayemponza kwa uswahili wake

Ila kumbuka Siba kafungiwa kusajili kwa mwaka mzima
We Kilaza kweli kweli... Wa wapi wewe? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wanawake huwa hamfahamu mpira ingawa mnaupenda kupitia boyfriends wenu. Simba ya wapi imefungiwa kusajiri mwka mzima? Nmecheka sana....😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mi huwa nakwepa hata kuangalia mpira na mwanamke asiyefahamu. Anakuwa na maswali ya kuchosha
 
labda hao kina mzozo wanadhani simba imefungiwa ndiyo maana ma fujo yote hayo,hivi kwa mafano kama herry mzozo angekuwa ndo meneja wa metacha mnata kwenye sakata lake la kutukanwa na mwenyekiti wa yanga ingekuwaje?yaani jemedari said ka lisolve kiutu uzima likaisha,yaani zimbwe of all people ilishindikana kwenda kwa uongozi na kusema mkataba unaelekea ukingoni kuna mwingine au nisepe?then tungetangaziwa kwamba wamekataa kumpa mkataba ungeona moto wa mashabiki ILA KWA STYLE HII YA MZOZO NA RAFIKI YAKE SHAFFIH DAUDA IMEFELIiiii
kwa kifupi ni kwamba gadiel michael apewe namba aletewe bryson wa kmc au david luhende wa kagera sugar naskia kapombe na meneja wake nao wanafata style ya mzozo na zimbwe basi kule aletwe tu shabn djuma wa as vita.jamani mkataba kaongeeni ofisini siyo kutishana na makelele kwenye media
 
labda hao kina mzozo wanadhani simba imefungiwa ndiyo maana ma fujo yote hayo,hivi kwa mafano kama herry mzozo angekuwa ndo meneja wa metacha mnata kwenye sakata lake la kutukanwa na mwenyekiti wa yanga ingekuwaje?yaani jemedari said ka lisolve kiutu uzima likaisha,yaani zimbwe of all people ilishindikana kwenda kwa uongozi na kusema mkataba unaelekea ukingoni kuna mwingine au nisepe?then tungetangaziwa kwamba wamekataa kumpa mkataba ungeona moto wa mashabiki ILA KWA STYLE HII YA MZOZO NA RAFIKI YAKE SHAFFIH DAUDA IMEFELI?
kwa kifupi ni kwamba gadiel michael apewe namba aletewe bryson wa kmc au david luhende wa kagera sugara naskia kapombe na meneja wake nao wanafata style ya mzozo na zimbwe basi kule aletwe tu shabn djuma wa as vita.jamani mktaba kaongeeni ofisini siyo kutishana n amakelele kwenye media
Wamwache aende anakoona atapata pesa zaidi. Kila anayetaka kutoka aruhusiwe. Na ndicho kitu wanacho fail wachezaji wazawa. Kupata managers wenye akili. Hizi kelele wasidhani zitawasidia.
 
Wamwache aende anakoona atapata pesa zaidi. Kila anayetaka kutoka aruhusiwe. Na ndicho kitu wanacho fail wachezaji wazawa. Kupata managers wenye akili. Hizi kelele wasidhani zitawasidia.
cha muhimu kwa sasa kuanzia mechi ya kagera waanze kumpanga gadiel michael anahitaji back up tu ya yule w kmc kule kulia kapombe nasikia na yeye karibu anaanza vurugu kama hizi,wamlete shaban djuma ikibidi na juma abdul wamrudishe toka indeni ya zambia
 
Kitendo cha Mohamedi Hussein kubakiza miezi miwili bila mkataba kutoka Simba ni dharau kubwa sana, aondoke akiwa huru akapate mshahara mnono, hao simba hawakawii na tff yao kusaini mkataba feki
 
Kitendo cha Mohamedi Hussein kubakiza miezi miwili bila mkataba kutoka Simba ni dharau kubwa sana, aondoke akiwa huru akapate mshahara mnono, hao simba hawakawii na tff yao kusaini mkataba feki
atakuwa metusaidia kwa sasa akinyamaza kimya hiyo miezi ikiisha akasaini hiyo mikataba minono amalizie kazi iliyobaki ya miezi miwili kwa amani
 
Upo sahihi, japo nakubali kwamba MH. ni moja ya wachezaji muhimu simba lakini maneno ya meneja wake ni ya hovyo sana. Nashangaa kwa nini wachambuzi wengi hawalioni ilo wao wanatoa lawama kwa simba tu. Jamaa yupo very unprofessional.

Wanafanya hivyo kulinda maslahi ya wazawa kwenye soka letu. Kuna malalamiko timu zetu zinalipa wazawa pesa ya mbuzi huku wageni wakinenepa. Mimi nimeunga presure hii kwa simba ili wazawa nao margin ipande.
 
Siyo kweli hao ni madalali kanjanja!! Wapo kazini kazini na wakiweka presha wanategemea kupewa chochote na mchezaji! Asipowapa ajiandae kuandikwa na kusemwa vibaya!
 
Pressure ya kipumbavu namna hii itaungwa mkono na watu wa akili hizo hizo
Wanafanya hivyo kulinda maslahi ya wazawa kwenye soka letu. Kuna malalamiko timu zetu zinalipa wazawa pesa ya mbuzi huku wageni wakinenepa. Mimi nimeunga presure hii kwa simba ili wazawa nao margin ipande.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom