Soma tenaTareh 29 may 2016 ndo alijibu barua ya barick gold ilioandikwa tareh 4 may 2016. Au mimi ndo sijaelewa!
We unaona kuna 4 may 2016?Soma tena
Basi yaishe.KWA ulichoandika hatawewe ungejibu hivihivi kwakweli
barua imesema 4th May 2017 juzi baada ya Tume kuanza kaziTareh 29 may 2016 ndo alijibu barua ya barick gold ilioandikwa tareh 4 may 2016. Au mimi ndo sijaelewa!
Hiyo barua ni ya mwezi jana tu baada ya kuona kisheria tutawabana endapo wakitaka kulipeleka swala hili mahakamani.Tareh 29 may 2016 ndo alijibu barua ya barick gold ilioandikwa tareh 4 may 2016. Au mimi ndo sijaelewa!
Mkuu endelea kupumzika, na utajapopata nguvu na kutikubali kuibiwa wenzako tutakuwa mbali.Hizi habari zimenichosha mimi
Samahan lakin sijaona 2016Barua bya Mei 29, 2016 inajibu barua ya Mei 04, 2017! Maajabu! Huyu aliyeiandika nadhani ana uwezo wa kuona "mambo yajayo; ya nyakati za mwisho".