Wachagga wanaiba na kukopa ili wafanye biashara, sisi tunaiba na kukopa ili tufanye sherehe.

Wewe una mapepo ya kulialia na kulalamika

Sasa wewe jizee lizima unaleta umbea humu eti mtu kafanya sherehe mtaani na ulienda kudowea.

So, what?

Hiyo nayo ni habari?

Halafu ukaweka na kabila la Wachagga.

Yaani mtu kafanya sherehe kwake na pesa yake, halafu kichwani linakuja wazo la kuwasema Wachagga.

Iweje uone sherehe halafu mawazo yako yawaze Wachagga?

Macho na ubongo wako havina ushirikiano siyo? Kwamba macho yakiona Sherehe, ubongo unapelekewa taarifa kwamba Wachagga ni wezi.

Uwe unakua basi!
 
Ukimaliza kulialia utanyamaza. Umesikia ehh

Back
Top Bottom