Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,614
- 40,764
Atakayepinga ana lakeWachagga ni akili kubwa sana.
Hazina ya taifa
Atakayepinga ana lakeWachagga ni akili kubwa sana.
Hazina ya taifa
Bila shaka umeongelea sample na siyo population.Hivi Bakhresa naye ni Mchagga?
Ndiyo hivyo! Hainaga ubishiAisee
Yes! Wanafanya watu wanalipwa mishahara.Na ndo wanaoongoza kwa kuchangia mapato ya kodi tra kupanda
Kwa kweliAtakayepinga ana lake
Kabisa mchaga mwenzanguKwa kweli
DuhMaisha ni kwa ajili ya nafsi. Na kwa kuwa maisha ni mafupi kwann nijitese kwa kujinyima halafu niwekeze wajanja wanakuja kujipigia kiulainiiiii.
Marehemu Mengi si ameacha matirioni, yanamsaidia nn?
Maisha ni leo na kwa ajili ya mtafutaji tu.
Halafu Huko huko akili ziliko zinawawasha
Ndiyo hivyo! Hainaga ubishi
Wewe una mapepo ya kulialia na kulalamika
Sasa wewe jizee lizima unaleta umbea humu eti mtu kafanya sherehe mtaani na ulienda kudowea.
So, what?
Hiyo nayo ni habari?
Halafu ukaweka na kabila la Wachagga.
Yaani mtu kafanya sherehe kwake na pesa yake, halafu kichwani linakuja wazo la kuwasema Wachagga.
Iweje uone sherehe halafu mawazo yako yawaze Wachagga?
Macho na ubongo wako havina ushirikiano siyo? Kwamba macho yakiona Sherehe, ubongo unapelekewa taarifa kwamba Wachagga ni wezi.
Uwe unakua basi!
Chang'aa siyo chafu mkuu, ni gredi wani ya mataputapu yote!Kwenu ndio mnakunywa hizo pombe chafu?
Nilie nimekuwa wewe?
Basil Pesambili Mramba, Daniel Yona, Mama Anna Mkapa, Alex Massawe just to mention the fewKwanza tuwekane sawa, WACHAGA si WEZI.....Kama ni wezi mtu aweke data hapa.
Inafanywa mob justice.Kwanza tuwekane sawa, WACHAGA si WEZI.....Kama ni wezi mtu aweke data hapa.
Basil Pesambili Mramba, Daniel Yona, Mama Anna Mkapa, Alex Massawe just to mention the few
Una matatizo ya akili wewe, unawezaje kujua wealth ya mtu ambaye hata humfahamu? Mimi sio fukara na kwetu ufukara hauna nafasi.Wamekuibia nini wewe fukara?