Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,833
- 155,780
Vipi na hapo chini ulipoandika "kupopa" ni sawa?!Moderator Naomba hapo tittle isomeke Wachagga wanaiba na kukopa sio kukosa. Asante
Ni sawa, Big Poppa Notorious B. I. GVipi na hapo chini ulipoandika "kupopa" ni sawa?!
Wachagga ni akili kubwa sana.
Hazina ya taifa
Eti hawa wachaga wa Rombo wanaoshinda kwenye vilabu vya pombe.Wachaga wa sehemu gani?
Eti hawa wachaga wa Rombo wanaoshinda kwenye vilabu vya pombe.
Hahahaha ok kumbe ulisahau P moja kuwa "Poppa" badala ya PopaNi sawa, Big Poppa Notorious B. I. G
Inaonekana ulikuwa unapenda sana hesabu za sehemu.Wachaga wa sehemu gani?
Na ndo wanaoongoza kwa kuchangia mapato ya kodi tra kupandaWachagga ni akili kubwa sana.
Hazina ya taifa
Wewe una mapepo ya kulialia na kulalamikaHivi ikipita wiki bila WACHAGGA kusemwa humu JF kwani website ya www.jamiiforums.com haiwi sawa?
Wachagaa! Wachagga!
Hivi Bakhresa naye ni Mchagga?
Kwenu ndio mnakunywa hizo pombe chafu?Mkuu umekurupukia kutoka chimbo la wapi leo maana siyo michapio hiyo kwenye kichwa cha habari. Au mning'inio wa chang'aa