Eti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?
Na ni kwanini?
Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?
ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa sana kule kwenye Jokes japo ni kweli.
nyura, mbonsavo !
Dah!! Vivian umeniacha hoi kweli ngoja nikae kimya lolEti ni kweli wachagga wanapenda sana Escudo na kujenga Mbezi kimara?
Na ni kwanini?
Au kwavile Escudo haili mafuta, Na Mbezi kimara iko Karibu na Moshi?
ha ha ha ha ha ha ha haaa- Hii inafaa sana kule kwenye Jokes japo ni kweli.
tobaa!
mkiki mae, nyiore kindovo
khaaa! Umeanza lini matusi?
Yah!! Na mimi nimeishasikia mara kibao wanaiita hivyoTF - Halafu kuna watu wanaita Escudo eti ni Boksi, hivi ni kweli?