Wachaga: Tamaduni zao 10 zinafanana na Wana wa Israel

No research no right to speak

Njmeoa mchaga

A cording my researchy

Pia Nina ndugu yangu anaye Fanya Kazi na waisrael,

Ameshawahi niambia hilo ,kuwa wachaga wana asili ya Israel

Wanazo tabia nyingi za ki Israel

Sema,ile asili wameipoteza

Hata maasai ni waisrael

Kuna undugu Mkubwa kati ya maasai na mchaga

Mfano,ukienda marangu,kuna ukoo unaitwa lekule

Ukija Kwa maasai huo ukoo upon pia

Ukoo ulio zalisha koo zingine ni ukoo wa Mushi ambao upo ndani ya biblia

Wazungu walishindwa kutamka Mushi ,wakatamka Moshi,ndipo likazaliwa neno Moshi,likiwa na maana KWA kina mushi

Wachaga ni Watanzania ila hiyo ni asili yao

Kuhusu kuzaliwa na Suleiman hill siliamini

Maana mushi amekuwepo kabla ya Suleiman

Mimi ni MTU wa mbeya sio mchaga

Yupo ndugu yangu amefanya Kazi na waisrael,kanipa kidogo

Lakini so wachaga tu,yapo makabila yenye asili ya Israel ila hayajagundulika

Sijui ni wanyakyusa au wazaramo hapo sijaelewa

Karibu Kutukana kama post imekukera,Ili tuuone upumbavu wako

s
 
kumbuka kila mtanzania ana asili yake katika makabila takrinni 120 yenye makazi yake, wengi kujisahau kabisa asii zao pinfdi wakifika mjini na engine huogopa kurudi makwao lakini ukweli ni kwamba asili yako huwezi kuifuta na pindi unapoiacha utakuwa mtumwa, uvimbe wa andazi usikuzuzue maana ndani liwazi.

Wachaga wamekuwa na utamaduni ambao haujaweza kuigika na makabila mengine takribani 120, kila ikifika mwezi wa 12 hurudi kwao kujumuika pamoja kama kabila moja lenye asili moja, hata wale ambao wapo nje ya nchi huwa wanarudi kwenye asili yao, Huko kwao wakifika hufanya mambo kama kuchangia harambee za maendeleo ya kijamii kama ujenzi wa shule, kupeana mbinu za maendeleo, kuinuana kwa kupeana misaada au mikopo, kupeleka watoto kujuana na ndugu zao, kufanya matambiko (hakuna kabila lisilo na matambiko), kuoana, kukanyana kuacha tabia zisizofaa, n.k.

Ni wengi tu wanatamani kurudi makwao na huwa wanaona wivu wachaga wanavyorudi kwao kwa visingizio kama wachaga huwa wanaenda kufanya matambiko, Hii inaonesha jinsi wengi walivyo washamba wa asili zao na inawezekana hawajawahi kurudi kabisa makwao, Hivi ni kabilagani hapa Tanzania halina Matambiko ?

Sababu zinazofanya makabila mengi yasirudi ni hizi

1640342166923.png

1. Ushirikina uliokithiri vijijini - kuna kurogana na kutupiana makombora guided missles hasa kama ukirudi umepiga hatua, hapa hata makabila mengine ya kilimanjaro kama wapare kuna watu utakutana nao kama kina mshana wazee wa kilingeni.

1640342281926.png

2. Chuki na wivu - watu wengi wa vijijini tena ndugu zako kabisa unakuta wachukia ulivyopiga hatua, wanapenda muwe sawa kwenye umasikini, ukipiga hatua ni vita.

1640342425942.png

3. Kusahau kujenga kijijini - mtu anajenga heshima bar mjini lakini kwao ni nyumba za kuti, kashazoea viyoyozi mjini, atarudi vipi kuishi nyumba za kuti?
 
kumbuka kila mtanzania ana asili yake katika makabila takrinni 120 yenye makazi yake, wengi kujisahau kabisa asii zao pinfdi wakifika mjini na engine huogopa kurudi makwao lakini ukweli ni kwamba asili yako huwezi kuifuta na pindi unapoiacha utakuwa mtumwa, uvimbe wa andazi usikuzuzue maana ndani liwazi.

Ni wengi tu wanatamani kurudi makwao na huwa wanaona wivu wachaga wanavyorudi kwao kwa visingizio kama wachaga huwa wanaenda kufanya matambiko, Hii inaonesha jinsi wengi walivyo washamba wa asili zao na inawezekana hawajawahi kurudi kabisa makwao, Hivi ni kabilagani hapa Tanzania halina Matambiko ?

Sababu zinazofanya makabila mengi yasirudi ni hizi

1. Ushirikina uliokithiri vijijini - kuna kurogana na kutupiana makombora hasa kama ukirudi ume[ga hatua, hapa hata makabila mengine ya ilimanjaro kama wapare kuna watu utakutana nao kama mshana wa humu jamii forums

2. Chuki na wivu - watu wengi wa vijijini tena ndugu zako kabisa unakuta wachukia ulivyopiga hatua.

3. Kusahau kujenga kijijini - mtu anajena heshima bar mjini lakini kwao ni nyumba za kuti, kashazoea ac na viyoyozi atarudi vipi kuishi nyumba za kuti?

4.
Ok, tukusaidie nini
 
sababu ya msingi hapo sijaiona kabisa.

kurudi nyumbani ama kutorudi ni HULKA BINAFSI ya mtu/watu/kikundi flani

rejea mtu kama Ben mkapa, Je na yeye aliogopa nini huko kwao Lupaso?

angepaboresha angefanyiwa hayo?

Kupata au kukosa ni majaaliwa ya Allah/Mwenyezi Mungu Mwenyewe!

wachaga wanafikia hatua wana risk maisha yao kwenye madili ya magendo ili wapate cha kuonyesha mwisho wa mwaka!!
 
mimi naona sababu kubwa ni pesa. kurudi nyumbani kijiji kila mtu anapenda. kila ndugu jamaa na rafiki akikuona anajua atapa chochote na unakuta hali zao kweli sio nzuri inaumiza ukienda huna hela kwa miaka mingi uliyokuwa mjini.
 
Hata hao wachaga hawana cha muhimu wanachokifata huko ila basi tu
Kama kurudi kwenu nyumbani ni mpaka uwe na pesa basi nasikitika kusema huna kwenu mkuu , hata wachaga choka mbaya huwa wanarudi krismasi mbona fresh tu, kurudi nyumbani kuna vingi sana,

Kuna kupeana ushauri wa jinsi ya kuendelea, kuna kuinuana kwa kupeana misaada au mikopo, kuna kupeleka watoto kwenda kujua ndugu zao, kuna matambiko (hakuna kabila lisilo na matambiko), kuna kuoana, harambee za maendeleo ya jamii, kukanyana kuacha tabia zisizofaa, n.k
 
Hata hao wachaga hawana cha muhimu wanachokifata huko ila basi tu
kwanini wasijigambe, ilishawekwa wazi umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.

Ila kwa kujigamba hicho kiti mhaya hanaga mpinzani japo kwake kuwa ni sifa 😂 😂 utaskia anaonegea na sim "mpe mbwa wangu nyama, usimpe mifupa sitaki ateseke"
 
Watanzania wengi wapo makwao na wasiokuwepo basi wameamua kuwa hapo walipo ndipo nyumbani.

Arusha wamejaa wanyeji na watu wa klm, tanga na mikoa mingine kidogo, Dsm wamejaa wenyeji na watu wa KlM na mikoa mingine kidogo same to mwanza.

Sasa wenyeji unataka warudi kwao wapi? Wa KLM ndo wanaenda kukumbuka asili yao mara moja kila mwaka sababu wengi hawapo huko.

Ndio mkoa ambao wenyeji wake wamejazana maeneo mengine.
 
sababu ya msingi hapo sijaiona kabisa.

kurudi nyumbani ama kutorudi ni HULKA BINAFSI ya mtu/watu/kikundi flani

rejea mtu kama Ben mkapa, Je na yeye aliogopa nini huko kwao Lupaso?

angepaboresha angefanyiwa hayo?

Kupata au kukosa ni majaaliwa ya Allah/Mwenyezi Mungu Mwenyewe!

wachaga wanafikia hatua wana risk maisha yao kwenye madili ya magendo ili wapate cha kuonyesha mwisho wa mwaka!!
Jibu zuri Sana mkuu
 
Ni 40 kati ya 100 ndio urudi uchagani. Ata makabila mengine pia urudi nyumbani kwao ila ni 10 kati ya 100.

Wachaga karibu mwaka mzima hutumia kwenye utafutaji ata kukimbia misibani ni wachache tofauti na kabila zingine. Wakati wao muhimu unakua huu.

Kuna jamii zingine ukisema tuu ujengee nyumba ya kuezeka, uta pigwa maswahibu hadi ukome ndio maana watu wanaamua kutekelekeza vijiji vyao.

Wivu, chuki, ubinafsi
 
Back
Top Bottom