Wachaga shikaneni kwenye ndoa kama mnavyoshikana kwenye kuimba siku ya harusi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Wapendwa
Mashemeji zangu mabbibib na mabwana,Kwanza nawapongeza kwa nyimbo zenu zinavyopendeza na
haswa jinsi mnavyocheza kwa kweli ukiangalia nyimbo za wahaya wasukuma hata kama una hela zinadondoka njiani wanavyojirusha lakii zetu naona mmeamua kushikana mikono ingawa nimeambiwa src ilikuwa ni wizi ati hapo nyumamashemeji mkijirusha watu wanapiga finga mifukoni....la hasha hii njia mbadala ni nzuri na inapendeza

Ila leo niko kuwaomnya wachaga mashemeji zangu jamani punguzeni kuwaacha wake zenu migombani ama hata mkiwa hapa mmekuwa na tabia ya kuona mkewenu wa migomban anaitaji wa mjini mwisho utatafuta wa midizini..nuichuo iyo ..kwa kweli dunia ni mbaya mashemeji tuacheni jamani tuwwapende wake zetu hata kama wanatoka kiraracha kama mzee wetu ALM alivyoamua kufa na mkewe mpaka anaarudi ulingoni leo kula shangingi lingine...


Embu ule wimbo wa le ule ulele ulele uleleelee tuufanyie kazi na kwenye ndoa nikimaanisha shika shikana na nyie wake msikubali ovyo waume zenu wanarudi sa sita saba kila siku acheni ujinga komaeni nae siku moja na wee nenda kakae getini ,,,mwnzio kaamua kunywaa bia amechoka na

KITOCHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

Kazi kwako mama wa vitochi
 
Kuna jamaa yangu anafanya utafiti wa mambo ya watoto mitaani katika miji mikubwa ya Dar, Moshi, Arusha na Mwanza na mpaka sasa ka utafiti kake kanaonesha watoto wengi wa mitaani bongo (over 50%) wanatoka kwa shemeji zako?? Je hii ndio sababu???

Kama ndivyo nakuunga mkono hoja!!!!!!!!!
 
Kuna jamaa yangu anafanya utafiti wa mambo ya watoto mitaani katika miji mikubwa ya Dar, Moshi, Arusha na Mwanza na mpaka sasa ka utafiti kake kanaonesha watoto wengi wa mitaani bongo (over 50%) wanatoka kwa shemeji zako?? Je hii ndio sababu???

Kama ndivyo nakuunga mkono hoja!!!!!!!!!

uko unakonipeleka sifiki mkuu
 
uko unakonipeleka sifiki mkuu


Hahaaaa, Pdiddy bwana. Anyway, mwenyewe sikumuamini sana jamaa mpaka au publish maana kuna best yangu mmoja aliniambia wachaga wanajua kupenda (wanaume kwa wanawake) sispokuwa tu wale wa pale Macha.......Machame kweli (wanawake tu)
 
BS!!We kabila lako na mengine yote yameshashikana mpaka ushauri wachagga??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom