Wachaga mwaka huu tunaenda kumshtaki kwa wazee wetu.

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,026
3,100
Mambo hayawezi kuwa MAGUMU namna hii afu tumkalie kimya.....

Mwaka huu tukienda ni kufungua mashtaka tu kwa bibi na babu zetu juu ya anayotufanyia huku mijini.

Na swali la mwaka huu kwa bibi zetu ni lilelile:
[HASHTAG]#unaijuabombardier[/HASHTAG]??
 
Back
Top Bottom