Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,305
- 772
Tangu nizaliwe na nikaanza kupata ufahamu na uelewa wa mambo mbalimbali hususani haya mambo ya sayansi ya gizani (uchawi) sijawahi kabisa kusikia wachaga wanahusishwa na hayo mambo.
Japo kuna makabila yanasifiwa sana kwa hayo mambo na kuna makabila mengine yanatajwa tajwa kama tetesi tu vile, Lakini narudia tena sijawahi kusikia kina meku wanahusishwa.
Sasa ndio niko hapa ili wanijuze huko kwao hivo vitu wanavichukuliaje?