wachaga mlioacha wake zenu vijijini,wakenya wanawasaidia shughuli

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,889
3,412
wakuu tupo moshi na tumeingia kijijini kwetu juzi,kwangu mimi ni muda mrefu kidogo sjafika huku kwa sababu ya shughuli za kazi, nimeshangaa sana kuona jinsi wakenya walivyojaa huku kijijini kwetu, nimefatilia nikapata jibu wanasaidia kwenye kazi za kulima, kukata miti n.k

kuna taarifa hata vijiji vingine ni the same, wachaga mlioacha wake zenu huku na kwenda kutafuta pesa kama walivyokuwa wakifanya wazazi wetu zamani mnakabiliwa na hatari ambayo hamjajua bado, hawa wakenya wana mahusiano na wake zenu na inaaminika wanawasaidia sana kwenye ile shughuli ya 6x6

utakuta mtu kasafiri mwaka mzima anarudi december anakaa kidogo anaondoka tena, zamani haikuwa hivi lakini mambo yamebadilika ghafla, kazi kwenu na wazee wenzenu wa kikenya, wasiwasi wetu ni kuzaliwa vitoto vinavyofanana na wakenya huku kwetu, wakuu hatutaki kabisa ile damu ya kikenya kuzaliwa kwetu, jitahidini kuwa na wake zenu karibu
 
hawa wakenya wana mahusiano na wake zenu na inaaminika wanawasaidia sana kwenye ile shughuli ya 6x6 ,utakuta mtu kasafiri mwaka mzima anarudi december anakaa kidogo anaondoka tena,zamani haikuwa hivi lakini mambo yamebadilika ghafla,wasiwasi wetu ni kuzaliwa vitoto vinavyofanana na wakenya huku kwetu,wakuu hatutaki kabisa ile damu ya kikenya kuzaliwa kwetu,jitahidini kuwa na wake zenu karibu
Zamani walikuwa wanasaidiwa na nani, tatizo lako nikusaidiwa na wakenya....hahahaahahahaah
 
Zamani walikuwa wanasaidiwa na nani, tatizo lako nikusaidiwa na wakenya....hahahaahahahaah

walikuwa wanasaidiwa na wale wazee waliobaki kijijini,sasa ukiangalia familia nyingi za kichaga utakuta watoto wote sio wa baba mmoja,lakini wazee wetu walimezea kwa uelewa uleee!sasa mkuu wakenya watatuachia mbegu mbaya zisizofaa kabisa,jitahidini mangi!
 
Zamani wakisaidiwa na wazee wa kijijini.

Unadhani huyo mwanamme huko mjini na yeye anakuwa mwaminifu?

Ni sawa na zile stori za wahindi zamani nikisikia yeye yuko huku analetewa taarifa amepata mtoto.
 
Kilichonishangaza kuhusu wachagga ni kuwa hapa dar magaria aina ya Toyota Noha ni ya walionazo kule moshi ndio daladala za vijijini kweli Tanganyika kuna tofauti kubwa
 
usipate hofu...ni wavumilivu sana...kwa kiasi ambacho wanajiweka busy na shughuli za nyumbani wala hawafikirii hayo mambo ya 6X6.:A S-coffee:
 
Dah! kwa maisha ya sku hzi ni muhimu sana kila mtu kuwa karibu na wake, vinginevyo mpaka al shabab watatuachia mbegu.
 
kuna haja ya kubadilika'nawajua wachaga kibao wake zao wanakaa migombani na wao wanakaa town
 
ahaaa!kumbe!ndo maana huyu mangi wa kitaani kaamua kumleta mkewe mjini!itakuwa alishachanika kama wakenya walikuwa wanajigongea pasi na wasi
 
wakuu tupo moshi na tumeingia kijijini kwetu juzi,kwangu mimi ni muda mrefu kidogo sjafika huku kwa sababu ya shughuli za kazi,nimeshangaa sana kuona jinsi wakenya walivyojaa huku kijijini kwetu,nimefatilia nikapata jibu wanasaidia kwenye kazi za kulima,kukata miti n.k,kuna taarifa hata vijiji vingine ni the same,wachaga mlioacha wake zenu huku na kwenda kutafuta pesa kama walivyokuwa wakifanya wazazi wetu zamani mnakabiliwa na hatari ambayo hamjajua bado,hawa wakenya wana mahusiano na wake zenu na inaaminika wanawasaidia sana kwenye ile shughuli ya 6x6 ,utakuta mtu kasafiri mwaka mzima anarudi december anakaa kidogo anaondoka tena,zamani haikuwa hivi lakini mambo yamebadilika ghafla,kazi kwenu na wazee wenzenu wa kikenya,wasiwasi wetu ni kuzaliwa vitoto vinavyofanana na wakenya huku kwetu,wakuu hatutaki kabisa ile damu ya kikenya kuzaliwa kwetu,jitahidini kuwa na wake zenu karibu
tabia hizi kwa wachaga ni za mda mrefu sana, natumai ukimtafiti mazeli ako aweza kukwambia mambo mengi asa nyie wachaga, yawezekana kabisa, bwa episodes wewe ni toto ya babuyako au ya mkenya, na uyo babako anayejulikana kwa jina la meku, kafanya kazi ya kulea tu wewe toto ya kikenya, aki ya mungu wachaga mna mambo, mie ningeua mtu kwa masiala aya
 
mchaga hata akimleta mkewe mjini atasaidiwa tu.always busy mpaka anakosa muda wa kutumia.
ngoja nihamishie makazi uchagani niokoe jahazi,bora mimi kuliko wakenya !!
 
zamani walikuwa wanasaidiwa na nani, tatizo lako nikusaidiwa na wakenya....hahahaahahahaah

baba zao!asilimia
kadhaa ya wanawake
wanaotelekezwa vijijini kina baba(mkwe) ndo wanawananiliu
ndo mana wababu
kibao wa kichaga
ngwengwe inawaua
 
tabia hizi kwa wachaga ni za mda mrefu sana, natumai ukimtafiti mazeli ako aweza kukwambia mambo mengi asa nyie wachaga, yawezekana kabisa, bwa episodes wewe ni toto ya babuyako au ya mkenya, na uyo babako anayejulikana kwa jina la meku, kafanya kazi ya kulea tu wewe toto ya kikenya, aki ya mungu wachaga mna mambo, mie ningeua mtu kwa masiala aya

Mkuu nimecheka sana'dah!
 
Kwanza hawatusaidii bse eneo kama rombo c tanganyika bali ni kenya...xo mnaowaita wakenya ni ndugu zetu acha watafune....also i was expecting this bse ingekua ajabu xana kwa x-mass kukaribia bila ya kutuongelea...chonga ngenga chali angu wakati sie tunapeta bwashee!
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom