wachaga mbona mnawalazimisha dada zetu mliowaoa kunywa damu

krismas ijayo uje na dada ako tukuandalie kambuz, ndo tutakufumbua macho juu ya hilo
 
Yesu Kristo hakutumia DAMU,bali alitumia kiwakilishi cha DAMU (DIVAI) na Kiwakilishi cha MWILI (Mkate) hayo yote unayajua Msukule wewe tatizo ni Husuda juu ya uhalali wa mafundisho ya Yesu Kristo na Mvuto wake dhidi ya mafundisho ya kuzimu ya Allah kupitia Muhammad.

Teh teh teh teh!
Kwa mtazamo wako huu basi WANYWA DAMU WOTE WATAINGIA JEHANAM.

Jamani wachagaa na wakurya na washashi na WANYWA DAMU WOTE! MMEMSIKIA MCHUNGAJI H1N1?
Yesu hakuruhusu DAMU bali alisema jaribunj KU ACT TU. yaani kama wale wanaokunywa dodoma wine WAKAIITA DAMU YA BWANA.
Nyie MNAOFANYA KWELI kwa mujibu wa H1N1 MMELAANIWA.
 
Last edited by a moderator:

Wajidharirisha Msukule wewe ,unless una maanisha wachagga na wakurya Waislam ambao ni Misukule anyway, nje ya hapo wachagga na wakurya wanaelewa nini maana ya Damu ya Yesu katika umbo la Divai au Mwili wa Yesu katika umbo la mkate , hakuna uhusiano na kisusio ambacho ni halali pia kwa anayependa.
 
Umeshawaogopa eee!
Teh teh teh teh!
We hufai kuwa Mchungwaji!
Muoga sana.

We waambie tu kuwa KUNYWA DAMU NI KUNYWA NAJISI.
Unaogopa nini? Au mkeo mchaga nini??

Hebu leta andiko LINALOSEMA KUNYWA DAMU NI HALALI.

Andiko limekataza damu we unaruhusu.
Huo ndio tunauita UKAFIRI.
 
Vyote, Biblia na Quran vinakataza ulaji wa damu. Ni machukizo mbele za Mungu.
Yesu hakula
kitu chochote
kilichokuwa na
damu, wala
hakula damu
yenyewe.
Mwenyezi Mungu
amenukuliwa
akimuagiza Nabii
Musa katika
Taurati,
Kumbukumbu la
Tourati 12: 16,
" Lakini msile
damu ya
wanyama hao;
imwageni damu
hiyo ardhini
kama maji ", na
katika Walawi 19:
26, " Msile nyama
yoyote yenye
damu. Msipige
bao wala kufanya
uchawi ".
Katazo
hili pia limehifadhiwa
katika Wahyi wa
mwisho, Suratil
An‘aam (6): 145
hadi leo:
Acheni kusifia na kufanya vitu ambavyo asili yake ni kuzimu na ni ushetani. Mungu awasaidie kutambua hili.

tatizo ni pale mnapochanganya kati ya makabila ya afrika na dini za waarabu na wa-israel. i think hivi vitu ni tofauti sana, ukweli ni kuwa dini ni product of culture. na unapofuata ukristo ama uislamu unafuata pia culture za hao waanzilishi yaani waarabu na wayahudi, kuanzia kuzungumza, kuvaa, majina, kula n.k. wahaya waliosilimu kiukweli hawali senene wala pombe, na wachaga waliookoka hawanywi mbege. kwakuwa culture mpya wanayoiamini inawakataza kula vitu hivyo .
wamasai wanaofuata ukristo wana mke mmoja tu, kuendana na itikadi za ukristo.
ni mengi sana ambayo makabila yanafanya kinyume na mitazamo ya dini kwani utamaduni huo haujaanzia kwetu bali mbali na kwetu. huwa najiuliza kwanini waarabu wanapenda kunawa sana ilihali wanatokea maeneo ya jangwani na kwanini wanapokula wanakaa chini badala ya kwenye viti je hii haina uhusiano wowote na kukosa miti yakutengeneza fenicha huko jangwani?

msimamo wangu kuhusu damu

binafsi siamini kama kuna kosa kunywa damu ya mnyama, nachojua unaweza kunywa damu ya mnyama tani yako na hakuna dhambi yoyote hapo ikiwa ulacho kitapokelewa kwa imani. kimtokacho mtu ndicho kinachomnajisi lakini ukila kinaenda chooni.
 
Ngoja nianze kusema bila kuzunguka,dada yangu mmoja ameolewa na mchaga wa marangu,na kwa sasa wameenda marangu kula sikukuu japo wanakaa mbali sana lakin wameweza kusafili umbali mrefu sana.Familia ya uyo shemeji lazima mwisho wa mwaka ndugu wote waende marangu.

Sasa leo nimeongea na dada kwa simu anasema wamemaliza kunywa damu maana walichinja ng'ombe na mbuzi baada ya hapo walivyomaliza kunywa ndio wakaanza kula nyama choma.

Ameniambia kunywa hiyo damu ya mbuzi ni lazima sijui inakuaje wachaga naomba mje mnieleze sababu maana mi siwezi kufanya hivo,Sasa hivi ameniambia yuko anakunywa mbege na ameisifia ni tamu sana pia inapunguza baridi,nimeshangaa sana sababu kwenye familia yetu pombe kama hizo tunaziona za ajabu ajabu,naomba ufafanuzi plz
Mimi nimchaga tena wahukohuko Marangu nanimtoto wakiume hayo yakula damu nimapenzi yashemeji mwenyewe,binafsi yangu huwa sinywi kisusio hata kidigo nawanajua hilo nahuwa wananitengea kabisaa nyama nasupu yangu.Kula au kutokula nimapenzi yamtu binafsi.Swala lakulazimishwa hapo halipo,Futa.
 
Umeshawaogopa eee!
Teh teh teh teh!
We hufai kuwa Mchungwaji!
Muoga sana.

We waambie tu kuwa KUNYWA DAMU NI KUNYWA NAJISI.
Unaogopa nini? Au mkeo mchaga nini??

Hebu leta andiko LINALOSEMA KUNYWA DAMU NI HALALI.

Andiko limekataza damu we unaruhusu.
Huo ndio tunauita UKAFIRI.

Wewe ni Muislam , katika Uislam vyote ni najisi isipokuwa kama marehem Muhammad alilidhia au shetani alitoa mafunuo kwayo vonakuwa halali.
 
Wewe ni Muislam , katika Uislam vyote ni najisi isipokuwa kama marehem Muhammad alilidhia au shetani alitoa mafunuo kwayo vonakuwa halali.

Mdomo mali yako kaka!
Una haki ya kusema utakayo.
Lkn uyasemayo si lolote zaidi ya ule UNAFIKI WAKO WA SIKU ZOTE!
Ndani ya Uislamu na UKRISTO WA KWELI nguruwe..Damu. nyamafu . Mizoga na POMBE hivyo vyooote ni NAJISI!
LKN nyie kwa mapenzi ya NAFSI ZENU mmeamua KWENDA KINYUME NA ANDIKO MNALOJIDAI KULIFUATA.
Na mkaweka VISINGIZIO VYA NAMNA NAMNA ili KUHALALISHA VILIVYO HARAMISHWA!
Sasa wewe na hao wenzako endeleeni kula NAJSI!
Lakini iko siku MTAKUFA! Na hapo ndipo mtakapojua kuwa KUBADILISHA AMRI ZA MUNGU NI KITU KIBAYA MNO.
 
kinachomsumbua 'khataan' na wengine humu ni wivu tu.
katika makabila yoooote yaliyopo nchini Tanzania hakuna kabila Bora na zuri kwa mila na tamaduni kama wachagga. Tamaduni za kichagga zimekwenda shule -''chuokikuu'' . i believe kila mchagga anajivunia hili kiroho safi. makabila mengi nchini ni aibuu, hayazungumziki. mtuache wachagga kutuonea wivu. wakina nicholous, miss chagga na wengineo big up popote pale mlipo. Tupo juu, Dari la afrika lipo mkoani kwetu, for real much respect kwa watani wetu wapare pia.
Proudly born Chagga.
 
Kama aliyesema nguruwe ni najisi na Huyo Huyo akasema ngamia ni najisi, ukiamua kula ngamia utakuwa nani kama sio kafir ? Jichunguze Msukule wewe !
 
Wewe ni Muislam , katika Uislam vyote ni najisi isipokuwa kama marehem Muhammad alilidhia au shetani alitoa mafunuo kwayo vonakuwa halali.
Hini wewe ni jembe, nilikuwa sijakusoma freshi kumbe na wewe unatisha aisee, manake naona jinsi ulivyo na shabaha ,yaani kila usemacho unalenga palepale. vipi umewahi kushiriki mchezo wa darts kimataifa nini? ntakutumia zawadi ya ndafu.
 
kinachomsumbua 'khataan' na wengine humu ni wivu tu.
katika makabila yoooote yaliyopo nchini Tanzania hakuna kabila Bora na zuri kwa mila na tamaduni kama wachagga. Tamaduni za kichagga zimekwenda shule -''chuokikuu'' . i believe kila mchagga anajivunia hili kiroho safi. makabila mengi nchini ni aibuu, hayazungumziki. mtuache wachagga kutuonea wivu. wakina nicholous, miss chagga na wengineo big up popote pale mlipo. Tupo juu, Dari la afrika lipo mkoani kwetu, for real much respect kwa watani wetu wapare pia.
Proudly born Chagga.

Sasa unaposema hivyo unakuwa umevunja heshima ya H1N1 manake yeye ni muha!

Na wewe sasa hivi ulikuwa umamsifu!
Mi nashindwa kuelewa hapa. Why two face!!?
 
Last edited by a moderator:
Sasa unaposema hivyo unakuwa umevunja heshima ya H1N1 manake yeye ni muha!

Na wewe sasa hivi ulikuwa umamsifu!
Mi nashindwa kuelewa hapa. Why two face!!?

Pole sana,ulizoea kuleta story za ibilisi ukufundisha watu kwamba ni mafundisho ya mungu, na misukule wenzio wakakutuku udaktari wa mazezeta ukafura kichwa kwa arrogancy, umeoneshwa hujui lolote, kazi kwako kuandika ufitini ati tuanze kujibizana sisi kwa sisi. Si sio misukule tunawaza na kutafakari...
 
Last edited by a moderator:
Sasa unaposema hivyo unakuwa umevunja heshima ya H1N1 manake yeye ni muha!

Na wewe sasa hivi ulikuwa umamsifu!
Mi nashindwa kuelewa hapa. Why two face!!?

sina tatizo hata kidogo na Hini na kabila lake la 'muha'. vilevile sina two face, bali najaribu kuzungumza kwa mtindo unaotumia wa ''two-face'' wa ku-bash wachagga na hapohapo una-bash wakristo. sasa Hini anaweza kuwa kabila la muha lakini sio mwislamu... you see that..?we have something in common..i.e. Jesus Christ our savior.
pia nina amini hakuna aliyechagua kabila bali kila mtu alijikuta anazaliwa na yuko pale hivyo sio makosa yake. pengine wewe ulichagua kabila lako. utuambie

udhaifu mwingine utakukuta pale utakapojikuta unawa-bash wachagga na kukuta kumbe kuna baadhi ya wachagga waislamu. ambapo hawatakuwa na amani na hoja zako. OMG!!. ndio maana nimewahi kukueleza kipindi cha nyuma kuwa you are very controversial and influential too. sometimes hatamimi huwa nacheka sana na hoja zako. especially hoja zinazogusia u-liberali youknowwhatimean.

sina tatizo hata kidogo na Hini na kabila lake la 'muha'. vilevile sina two face, bali najaribu kuzungumza kwa mtindo unaotumia wa ''two-face'' wa ku-bash wachagga na hapohapo una-bash wakristo. sasa Hini anaweza kuwa kabila la muha lakini sio mwislamu... you see that..?we have something in common..i.e. Jesus Christ our savior.
pia nina amini hakuna aliyechagua kabila bali kila mtu alijikuta anazaliwa na yuko pale hivyo sio makosa yake. pengine wewe ulichagua kabila lako. utuambie

udhaifu mwingine utakukuta pale utakapojikuta unawa-bash wachagga na kukuta kumbe kuna baadhi ya wachagga waislamu. ambapo hawatakuwa na amani na hoja zako. OMG!!. ndio maana nimewahi kukueleza kipindi cha nyuma kuwa you are very controversial and influential too. sometimes hatamimi huwa nacheka sana na hoja zako. especially hoja zinazogusia u-liberali youknowwhatimean.

kinachomsumbua 'khataan' na wengine humu ni wivu tu.
katika makabila yoooote yaliyopo nchini Tanzania hakuna kabila Bora na zuri kwa mila na tamaduni kama wachagga. Tamaduni za kichagga zimekwenda shule -''chuokikuu'' . i believe kila mchagga anajivunia hili kiroho safi. makabila mengi nchini ni aibuu, hayazungumziki. mtuache wachagga kutuonea wivu. wakina nicholous, miss chagga na wengineo big up popote pale mlipo. Tupo juu, Dari la afrika lipo mkoani kwetu, for real much respect kwa watani wetu wapare pia.
Proudly born Chagga.

Just read those two statements zako hapo juu.
Halafu tell me WHO IS TWO FACED!

I think I rest my case!
 
kuna dhana imejengeka kuwa wachagga ni wakristo na wengi mapadre. hivyo wapingakristo wengi wanatumia dhana ya ku-dis uchagga kwa kisingizio cha kabila lakini wakichomekea maneno ya kuuponda ukristo kiaina. ni wachache wanaong'amua huu udhaifu. mkristo msomi na mchamungu anajua fika kuwa hakuna binadamu aliyezaliwa kwenye kabila lake kwa kujipangia bali alijikuta yumo humo. ni imani yangu watu kama wakina kahtaan wangeambiwa leo wachague kabila wangechagua makabila ya warabuni kwakuwa katika maisha yake amekuwa akiamini kuwa waarabu ni watu wa kipekee sana, kitu ambacho huwezi kukiondoa katika utu uzima wake tena. pamoja na kuona waarabu wanapewa kichapo kikali na Israel na wanashindwa vita mara zote dhidi yao bado amekuwa akiaminishwa kuwa waarabu ndio washindi.
muhamadi alikataa kujiita mtume wao wakasema nasi tumekupeleka ili uwe mtume, na yeye alisema yeye ana dini yake na wao wanaya kwao,japo sijui kwanini alidhamiria kuunda dini yake wakati alikiri mwenyewe bila shuruti kuwa wakristo ni wachamungu na miongoni mwao wapo wasomi, si angefuata tu ukristo lakini hili lilimshinda., hivi kahtaan kwanini anaweka pamba masikioni asilione hili., kwani hili ni kubwa kuliko hilo la ukabila.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom