trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,335
- 7,662
Heri ya sikukuu ya Idd kwa ndugu zangu waislamu wote na wanaJF kwa ujumla.
Niende kwenye mada husika ndugu zangu wachaga kwanini mnapenda sana kunyang'anya watoto hata wakiwa wachanga kwa mama zao pale inapotokea mahusiano yamefeli?
Nina mifano kadhaa juu ya hilo mama mmoja alichukuliwa mtoto wake wa miezi mitano tena bila huruma kabisa.
Mwingine alimfumania mume wake mara kadhaa akaamua kuondoka ndugu wa kichaga wakajikusanya kwenda kuchukua mtoto wakati ni mdogo anayenyonya.
Mfano mwingine pia kuna huyo dada alishindwana na mchumba wake wa kichaga wakataka kumchukua mtoto wa miezi 4 yaani wapo tayari kumnyima mtoto haki yake ya kunyonya sababu ya ubinafsi wao.
Je ni kwamba hawana huruma juu ya viumbe hao wadogo kuwatenganisha na mama zao wakiwa wazima au ni nini shida maana kama kuachana kwa wazazi mtoto inabidi asihusishwe akae na mama mpaka akimaliza kunyonya ndio utaratibu ufwate kwa makubaliano na sio kumkosesha mtoto haki zake.