there you areHahahaha!! Mkuu huwa tunasemaga ni saa sita cash....Maana yake ni saa sita kamili!!
Kama ni kasoro utasikia ni saa sita kasoro chenchi kidogo
Ukitaka kumweza mchaga, fika dukani kwake asubuhi alafu alafu ulizia kitu ambacho hana mfano supu. Siku ya pili yake uliza tena km ana supu, atakujibu hana. Siku ya tatu mwulize tena km ana supu. Siku ya nne mwulize km ana supu atakujibu anayo utashangaa ashafungua biashara ya supu mbele ya duka lake