Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachaga bwana we achatu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NTINGINYA, Nov 9, 2010.

 1. NTINGINYA

  NTINGINYA JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  WACHAGGA: CHAGUO NI LAKO!

  There is no Chagga tribe but just different groups of people living on the southern slopes of Mount of Kilimanjaro with the following characteristics:

  WAMACHAME (Business entrepreneurs)
  Huwezi kujua nani mwanamke na ni nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakuwa hivi " kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu"

  Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni kwa kipimo. Ukiwa katikati mama anakwambia STOOOOOOP!
  Hapo shilingi Elfu 20 zako ndio zimekwisha; Ukitaka ongeza
  ndio uendelee.

  Yahye, unasikia nasema MKE WA NDOA! Wamachame hao! Uchumba tu, lazima upeleke Kapati la mbeho!

  WAKIBOSHO (Specialized bandits)
  Mama akiwa anapiga soga na mwenziwe utawasikia hivi
  "Yaani Dadangu, we acha tu yule Alex wangu siku hisi amepefuka kweli; Ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi, ameunda kundi lake la ujambasi, Kris imasi hii lasima nitaletewa fitenge file fya Kongo.

  Binti naye, AKIOLEWA NA KYASAKA, baba na mama wanamwambia " Hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo pesa sake tujengee huku kwetu Manka!!  WAURU (The Elites)
  Very boring people, wakikaa ni kuongea kuhusu shule tuuuuuuuuu, masomo, digrii. Yaani yukanoti bilivu !
  Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake wote: " Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao hasa wazungu tangu chekechea.

  Uzuri wao, wanamwogopa sana Mungu. Kengele ya KANISANI ikilia saa sita mchana utaona wazee wote kilabuni wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.

  Wanapenda maparachichi hao! We acha tu!!

  WA OLD MOSHI (The Mechanics)!
  Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule kwao. Yaani mimi sisemi we nenda kachague mwenyewe.
  Taabu, Wanaume ni wabishi! Kama mkia wa mbuzi!
  Wanakunywa kisusio hata cha Nguruwe!! Na Gongo
  nyingiiiiiiiiiiiiiiiiii (Wenyewe waita Crysta-pen!)

  WAMARANGU (The handsome liars)!
  Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somo
  la "jinsi ya kudanganya" shule zote za primary kule Marangu.
  Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu.
  Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapa
  maisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumba
  inamshinda ni jambo la kawaida.

  WAROMBO: (The salesmen)!
  Kazi mtindo mmoja! Hawana tofauti ni kuruti wa Jeshi!
  Wanawake tunawaita "KUBOTA" aina ya matrekta waliyosambazwa Kilimanjaro na Wajapani miaka ya 1970.
  Watafutaji wa pesa!!!! We acha tu. Wahindi hawaoni ndani!
  Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia Kenya kupitia Tarakea.  Ushauri wa bure!
  Rafiki yangu uamue mwenyewe lakini kwa ushauri
  mwepesi mwepesi nenda Uru (wasomi) au Rombo (wachapa
  kazi). Chaguo ni lako.
   
 2. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Is this supposed to be a joke .........?! maana utani mwingine ................... ngoja waje wenyewe akina Kaizer, MJ1, Petra .....
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,205
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  OLD news:tape:
   
 4. M

  Mountainmover Member

  #4
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Huyu mmachame umuoe halafu umuhonge akupe unyumba! Kha! Ilihali mzigoni anakwambia, 'shughulika mwenyewe...'
  Hebu tupa kule!
   
 5. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,241
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hapa ngoja ni:tape::tape:
   
 6. HansMaja

  HansMaja Member

  #6
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Lakini wadada wa Marangu wapo bomba saana!! Ma-miss wengi wanatokea huko
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,158
  Likes Received: 1,153
  Trophy Points: 280
  :tape:
   
 8. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #8
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  non sense and use lessss..................................
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Nov 10, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,705
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  bigirita et kwel?
  roy aya yana ukwel wowote?
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Nov 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,611
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Ya kizmani kweli hii! Umefufukia wapi wewe mfu?
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,948
  Likes Received: 2,498
  Trophy Points: 280
  :tape:
   
 12. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #12
  Nov 10, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,698
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  vip wamekushika!???
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Nov 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 42,650
  Likes Received: 5,558
  Trophy Points: 280
  Hili lithread limerudiwa mpaka linakinaisha!

  Oups! Kumbe aliyeposti bado mgeni....Karibu sana jamvini.

  Siku nyingine uwe unabisha hodi kwanza..
   
 14. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #14
  Nov 10, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :nono::nono::nono:
   
 15. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  boaring story na kama wamachame wanapenda pesa kaoe dada zenu huko mashariki, kusini na magharibi.................useless topics i hate that.
   
 16. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #16
  Nov 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,234
  Likes Received: 322
  Trophy Points: 180
  Dah nimewowa maeneo hayo kazi kweli kweli ila uyu kakulia mjini so hayo mambo hana kbsaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 17. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #17
  Nov 10, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 985
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Huyu kajaribu wote hawa, kaamua kuwaharibia, mimi naoa yoyote
   
 18. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #18
  Nov 10, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  CCM itazidi kututawala na maendeleo ya nchi yatakua yanarudi nyuma 7bu yenu nyie ambao mnaendekeza UKABILA, NYERERE HAKUWA MJINGA KUKOMALIA KISWAHILI KUWA LUGHA YA TAIFA..

  Angalia kenya jinsi walivo na ukabila yani ni ugomvi na uwa ni nadra sana mtu wa kabila lingine kwenda kuishi mda mrefu au kujenga kwenye kabila lingine labda kwenye miji yao mikubwa kama nairobi, kisumu n.k,..

  Hivi mnanini na madada wa kichaga mbona wao ndo wanaoolewa kwa sana .. kiukwel ni watu wa maendeleo na sio kama wanawake wengi wa makabila mengine ambao wanakuwa magoli kipa kusubiri wadake tu kwa waume zao.. tena bora wawe wanafanyia maendeleo ila ni kushindana kujiremba tu na umbea na kuwa mcharuko.. lakini mchaga hata kama anachuma kupitia mwanaume wake basi ni lazima kwanza kwake aweke mambo sawa pawe pa mvuto na sio vagaranti.....
  tumechoka mana mnawadis saaana, JE WEWE NI KABILA GANI?????TUIELEZEE DADA ZAKO WAPO VIPI???
  UNABOA SANA WW HUONI HADI WATOA COMMENT WAMEIGOMEA POST YAKO..
  MBONA MIMI NINA MCHAGA NA HAYUPO IVO!!!!???

  Mfano halisi mimi asili yangu ni kenya ila babu yangu aliondoke kenya coz ya mambo hayo ya ukabila na fujo..leo hii wewe mzaramo uliepost huu upuuzi wako unaweza kwenda kunuua plot uchagani na ukuendlea nalife bila usumbufu
  Kumbuka kuwa siku zoooote "mti wenye matunda ndio upigwao mawe"

   
 19. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #19
  Nov 10, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Mi mwenyewe namshangaa huyu falaaaaaasi anaingia mzima mzima tu
   
 20. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #20
  Nov 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,168
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Uchambuzi wako si sahihi. Katika wachagga wote, sehemu yenye wasomi wengi ni Marangu na siyo Uru. Katika wachagga wote, sehemu inayosafirisha wafanyakazi wa ndani zaidi kwenda DSM ni URU. Wakibosho na Warombo huwezi kuwatofautisha sana kwani shughuli zile za sulubu kama bucha za nyama utawakuta, nyama choma ni wao, mabaa ni wao.
   
Loading...