Sharif
JF-Expert Member
- Mar 13, 2011
- 2,450
- 1,777
Gwaride ni heshima
Gwerida ni ukakamavu
Gwaride ni burudani
Utazuiaje gwaride lisichezwe eti unaogopa hela zitatumika.. Unaenda kutumia hizo hela wapi? Si utashindwa hata kusherehekea siku kuu nyumbani kwako kisa gharama? Matumizi ya hela ni yepi ?
ZANZIBAR KUMEPENDEZA MUDA HUU..