Waburunge


M

mjasiria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
4,148
Likes
495
Points
180
M

mjasiria

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
4,148 495 180
Habari wana MMU,
leo nina maswali kidogo kuhusu hili kabila la waburunge. Kwanza kabisa naomba ieleweke kuwa ninauliza maswali haya kwa sababu sikuwahi kujua kuwa kuna kabila linakwenda kwa jina hili hadi hapo jana.

Ni kwamba katika pitapita zangu nimekutana na binti mmoja mrembo sana, sasa katika kuzungumza ikafikia mahali akanijulisha kuwa yeye ni mburunge na kwa mujibu wa maelezo yake hii kabila inapatikana manyara. Sasa basi ninaomba kwa wale wenye habari kuhusu hii kabila watusaidie mwanga zaidi hapa hususani katika eneo la mahusiano.

Maswali yangu ni kama ifuatavyo:
  1. Je tamaduni zao zikoje kwenye suala la mahusiano?
  2. Je wanafanya tohara kwa wanawake? Na pia wana kitu chochote kinachofanana na jando?
  3. Najua kila mmoja ana tabia zake lakini kuna zile tabia za jumla zinazotokana na tamaduni na malezi yanayopatikana katika kabila fulani. Naomba kujua ni zipi tabia za kabila hili hususani katika mahusiano.
Angalizo:
Najua kuna watu mtasema muulize mwenyewe. Kifupi ni kwamba nimeshamuuliza lakini nimeona niulize na humu maana huenda kuna watu wana habari muhimu na sahihi kuhusu waburunge kuliko hata huyu msichana.

Haya jamani uwanja ni wenu..........................
 
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
8,684
Likes
2,796
Points
280
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
8,684 2,796 280
Haya sasa,...yaani siku hizi MMU imekumbwa na kiwewe cha ukabila,...anyway ngoja waje wale wajuvi mkuu!
 
M

mjasiria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
4,148
Likes
495
Points
180
M

mjasiria

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
4,148 495 180
Haya sasa,...yaani siku hizi MMU imekumbwa na kiwewe cha ukabila,...anyway ngoja waje wale wajuvi mkuu!
Mkuu IGWE wewe ni mmoja wa wanachama ninaowakubali sana hapa MMU. Hebu lipitie tena bandiko langu utaelewa mantiki ya ninachoulizia
 
M

mjasiria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
4,148
Likes
495
Points
180
M

mjasiria

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
4,148 495 180
Hivi nyie mnaojiita mods mnatumia vigezo gani kuhamisha uzi??!!!!!!!!!! Hivi huu uzi kwa akili zenu umekaa ki-chit-chat kweli. Nilikuwa nawashangaa members wengine waliokuwa wanatoa malalamiko lakini sasa naanza kuamini humu kuna kujuana kwingi kama CCM vile. Yaani mmeniboa sana.
 
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
8,684
Likes
2,796
Points
280
IGWE

IGWE

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2011
8,684 2,796 280
Hivi nyie mnaojiita mods mnatumia vigezo gani kuhamisha uzi??!!!!!!!!!! Hivi huu uzi kwa akili zenu umekaa ki-chit-chat kweli. Nilikuwa nawashangaa members wengine waliokuwa wanatoa malalamiko lakini sasa naanza kuamini humu kuna kujuana kwingi kama CCM vile. Yaani mmeniboa sana.
ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!...kweli umenuna mkuu,..waambie wairudishe bana.
 
M

mjasiria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Messages
4,148
Likes
495
Points
180
M

mjasiria

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2011
4,148 495 180
ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!...kweli umenuna mkuu,..waambie wairudishe bana.
Wameniboa sana mkuu, watu tuko serious na ishu za maana wenyewe wameona Chit chat.
 
ndyoko

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
4,982
Likes
316
Points
180
ndyoko

ndyoko

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
4,982 316 180
Mhhhhhhhhhhhh! jamani kama waburunge mpo si mtuambietu, au ndo mnataka muoaji ajifunze hayo baada ya kuoa. Msaidieni ili ndoa yake iwe na furaha, jamani waburunge jitupeni jamvini mpate shemeji. Mbona yule mmaasai alituambie mengi juu ya ngoma yao ya essoto!!!
 
ndyoko

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
4,982
Likes
316
Points
180
ndyoko

ndyoko

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
4,982 316 180
'Ngono inapendwa sana lakini inaogopwa kuongelewa waziwazi'
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
16,410
Likes
3,198
Points
280
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
16,410 3,198 280
Sidhani kama wanapatkana manyara nijuavyo mimi wanapatkana kwa wingi wilaya kondoa mkoa wa Dom, wanashahibiana sana na warangi kwa muonekano na tabia na hata wengi wao hupendelea kuzungumza kirangi na hata kujtambulisha kwamba ni warangi.
 

Forum statistics

Threads 1,250,869
Members 481,514
Posts 29,748,902