Wabunge wote wa upinzani watoka bungeni baada ya Spika kukataa kuahirisha bunge

Nimeridhishwa sana na umoja ulioonyueshwa na wapinzani kwa pamoja kuinuka na kutoka,nashindwa kuelewa mawasiliano yamefanyikaje au ilikuwa tu swala la nafsi ya kila mmoja,,mtu mmoja aniweke sawa,,Cheyo,Mrema na Mbatia kweli walitoka nje nao?
 
Mwache asaidie Chadema na wazanzibari wajifunze toka kwa CCM yao hakika poleni wahanga wa meli kwa mara nyingine
 
Ajali isingekuwa inahusisha Zanzibar kwa kiasi fulani, hata wabunge wa CUF wasingetoka nje!
 
Bunge ni mhimili unaojitegemea, sasa kwa nini Spika akatae hoja iliyotolewa na mbunge (Hamad Rashid) lakini akubali kufanya kitu hicho hicho baada ya serikali kusema? Anne Makinda hana uwezo wa kufanya 'judgement' mpaka aambiwe? Na wananchi waamini Bunge chini ya Makinda bado ni mhimili unajitegemea na sio idara ya serikali?

bunge ni kitengo cha propaganda cha CCM na serikali yake.
Huyu mama anaitaji psychotherapy kwani hayupo vizuri kichwani.
 
wabunge wote wa upinzani yaani wa CUF, CDM, TLP ,NCCR wametoka bungeni kupinga kitendo cha spika kukataa kuahirisha bunge kwa dharura ili kuweza kutoa nafasi kwa serikali kuchukua hatua dhidi ya meli inayozama Znz.

Alitoa hoja Hamad Rashid kuwa Bunge lipitishe bajeti kabla ya mawaziri kuhitimisha ili kutoa nafasi kwa wabunge kufuatilia na kuweza kusafiri. Spika akamjibu kuwa hoja hiyo ingefaa kama maafa yametokea karibu na Bunge kama Chamwino etc ili wabunge waende wakatoe damu .

Hali ni mbaya , Bunge linapitisha bajeti kwa suala gani?
Ah ni upepo tu utapita
 
huyu mama kawa kichekesho leo, mwanzo kakataa kuhairisha Bunge, baada ya wabunge kutoka Nje akaona imekula kwake mara moja akahairisha Bunge kwa aibu kubwa, Nchi hii haina Spika wa Bunge

Jamani tujitahidi kuleta mada yenye kutoa maelezo yenye kujitosheleza. So wote walioangalia yaliyojilia bungeni kwa sababu mbalimbali. Hivyo unapoleta mada jaribu kuleta habari ambayo kila atakayesoma hata ambao hawakuona kinacheendelea wataelewa nini kilitokea. Hii ndiyo njia bora ya uandishi na upashanaji habari.
Jaribu kutoa kamhutasari fulani kenye kujenga taswira ya habari unayoleta badala ya kuleta kimipasho tu. Thanks.
 
Yaani vyombo vikubwa vya habari kama aljazeera vinaripoti kama ni breaking news yeye bado anaona mipasho. shame upon her.
 
KAFU nao ni issue sana ni wamiimi mno na kwa kweli si waugnwana but sawa Chadema onyesheni mfano
 
Mimi ninamsubili mwigulu atowe tamko lake kwani aliwazushia wa bunge wa cdm kuwa mb wao alipopata ajali hawa kwenda kumsalimia hata simu hawa kumupigia.sasa sipika ameombwa bunge liahirishwe ili wabunge wakaangalie namna ya kwenda kuokoa maisha ya watu amegoma pamoja na wabunge wa ccm ambao wameonyesha kuwa maisha ya wa piga kura wao si chochote isipokuwa ni bunge tu.wameshituka baada ya kuachwa solemba na wapinzani.hapa kauli ya mwigulu inahitajika.
 
SUALA LA UZAMAJI WA BOAT lipo mahakamani,mwananchi haruhusiwi kujadili!pia govt IMEJIPANGA AJALI ISITOKEE TENA
 
mama mbona anashindwa kupima upepo ?

huyu bibi ni janga la millenia, ana ubabe wa kijinga sana, lakini ndio hivyo unategemea nini mtu aliyepewa nafasi kulinda maslahi ya watu.
ukiona anavyozuia mijadala, miongozo na maswali ya wabunge, nashindwa kuelewa nini maana ya bunge, ni bora wakakae kwenye party caucus, wamalize kila kitu sio kupoteza kodi zetu.
 
Nikutokana na taarifa za meli iliyo zama mchana wa leo Zanzbar. Ikiwa na abiria zaid ya 250. Wabunge walitaka kikao kiahirishwe ili mawaziri wapewe mda wa kufanya shughuli za rerikali kusimamia uokoaji. Mama Ana makinda akakataa
please, am stl blind here, naomba nijuzwe sababu za kuhairishwa kwa kikao! niko mbali na media
 
Back
Top Bottom