Wabunge wetu: Wapiga U turn kwenye fao la kujitoa kwenye Pension Funds

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Itakumbukwa wabunge wetu vijana mmoja CCM na Mwingine CDM. Walipigia kelele sana kama watetezi wa wanyonge wakisema wafanyakazi waruhusiwe fao la kujitoa.

Ukimbukwe pia hakuna kitu kinaitwa fao la kujitoa bali ukweli ni kujitoa/kujifuta kabisa kuwa mwanachama wa mfuko husika.

Kwa kuwa kama kawaida vyombo vyetu vya habari havidadisi mjadala ulikuwa na nguvu kupita maelezo na wabunge hao vijana wakaonekana watetezi wakubwa. ilifikia mahali wakaanza kushindana kwamba ni nani kweli mwanzilishi wa hoja.

Kama ilivyokawaida nakumbuka Zitto Kabwe alipinga hoja hiyo bila kujali angeonekana sio mtetezi wa vijana. Alifanya hivyo akijua hilo jambo likukuwa event/tukio tu ambalo baada ya muda mfupi wengi wangeelewa kwamba maoni hayo yalikuwa ya kuwapeleka wananchi chaka.

Turudi kwenye hoja. Mara baada ya wabunge wenyewe kupitia kamati ya huduma za jamii kuzuri nchi mbalimbali ni wao wenyewe tena, hata sio serikali wameshauri hoja hiyo ipuuzwe bali watafute namna mbadala ya kuwasaidia watu wanaoacha kazi ili wakati huo waweze kutumia sehemu ya michango yao lakini sio kujitoa.

My Take:
Wabunge vijana tuwe makini kutoa hoja zetu...
 
Hapo kwenye red, fafanua, kwa maana hiyo ukikoma kuwa mwanachama si unachukua na chako kabisa?? Au mwenzangu umeelewa vipi?? Unaweza kuacha uanachama na bado pesa yako wakakaa nayo??

Hapo kwenye Blue, sijui ulikuwa unaama gani, manake katika watu waliopambana sana na fao hili Mnyika alikuwa pia mbele sana, au Zitophobia inakusumbuua mkuu??
 
Hivi hii kitu iliishia wapi, isijekuwa pesa ya watu inachezewa tayari bila ya kujitambua,
Kuna mikakati ipi imewekwa na tayari inafanya kazi kwa sababu waajiri bado ni wale wale na kwa kweli hawajabadilika kusema kwamba ajira zitakuwa more permanent.
Issue ya interest iko vipi maana hata benki au biahara yeyote ile huwezi kuweka hela yako miaka yote hiyo bila interest labda iwe biashara kichaa.
 
Back
Top Bottom