Wabunge wetu wanaumwa nini hasa??magonjwa ya dharura na yasiyo dharura ni yapi haswa!!msaada tutani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wetu wanaumwa nini hasa??magonjwa ya dharura na yasiyo dharura ni yapi haswa!!msaada tutani

Discussion in 'JF Doctor' started by Pdidy, Oct 28, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Katika hali ya kuuzunisha wabunge wetu wapendwa wamekuwa wakiugua hivi karibuni na katika k uonyesha mfano wa kujali hospitali yetu teule ya muhimbili wote wamepita kwa private wakaishia kuja muhimbili pale upaanga

  mh zitto ameumwa akafikia aghakan then muhimbili swhiba wake clara nae ameishia muhimbili hawa niwabunge wa kuigwa mfano hata kama watapelekwa appolo basi wamepta kule shamba la bibi muhimbili

  watanzania sasa wamekuwa na wasiwasi na napenda niweke wazi kuna msg imenipitia na mimi kuhusu mh zitto kuwahi kwa mola la hasha nahisi huyu bwana alikuwa anajua ni mzima ila ukimya wa kujua kipenzi chao anaendeleaje uliofanywa na ofisi za bunge na familia yake aliona njia hii inaweza kumsaidia kupata hali halisi ya mh zitto huku mh clara nae akimfwata...pongezi kwa mama makinda kwa kuweka hadharani kupeelekwa kwa mh zitto appolo india swali na huyo bibie clara yeye anaenda nchi gani maana najua kuna st thomas na appolo embu tujuze mh makinda kama uko on line

  hili swala la magonjwa ya dharura nalo limenitatiza kidogo..nimeona issa michuzi blog dk wa magonjwa ya dharura akimwongoza mama makinda na msafara wake kunako kwa mh zitto..je kwa wale wajuzi wa tiba magonjwa gani ni dharura na ambayo si dharura haya yatatusaidia wengine kujua kama tuna ya dharura tukimbilie appolo moja kwa moja badala ya kubanana na wenzetu pale sewahaji ama kibasila

  mama spika ana makinda naomba siku nyingine aijalishi zitto amelazwa hali ni mbunge amelazwa embu nendeni kwenye vyombo vya habari wapasheni watu nani na anaendeleaje hii itasaidia kuondoa biashara ya kuuana kwenye sms kama walivyotumia kwa mh zitto...naamini sms ile imemsaidiia na itamsaidia kutoka kwenye hali ya aake ya kuumwa na kurudi mtaani..

  Witto
  ndugu zetu mlio na wagonjwa mwaminini mungu ndie mponyaji..msikimbilie bagamoyo kupata uponyaji ni mapema sana kuwapoteza wabunge wetu kwa minajili ya pruuuuu pruuuuuuuuuuuu ...naamini mmeelewa naomben tena kwa dhati msiwakimbize kunako mtawaua kablaya wakati ni wakati wa kuwaomba watu waliosimama na mungu na hata viongozi wa wwa kiroho kuja kuwaombea na kama wametupiwa maruhani muwe naimani yatalipuka na watakuwa saalama kabisa  wadau wa muhimbili embu tusaidiien kwa hili..na huyu dk wa magonjwa ya dharura anakuwa anasomea dharura tu akiwa chuoni ama anakuja kuamua baadae baada ya kumaliza chuo...?
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Uko sawa
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hayuko sawa
   
 4. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  wanaugua kama tuuguavyo sisi walala hoi,ila kwa kuwa wao ni wameshimiwa inakuwa ni rahisi sana kuhamaki,laiti kama unge enda mahospitalini ukaona wanaougua basi ingekuwa kila siku ni tumbo joto,ila kwa kuwa wanao ugua hawana popularity yeyote ile huwezi kusikia wakizungumziwa

  ila ni magonjwa ya kawaida na hakuna gonjwa lililo letwa kwa ajili ya wabunge wetu

  tuzidi kumwamini mungu kuwa yupo na ndie anae tupa uzima
   
Loading...