Wabunge wetu wa CCM wanahofia nini?

Mato De

New Member
Mar 31, 2015
4
0
Nimekuwa nikijiuliza wabunge wa chama tawala walikuwa wanahofia nini mpaka wakapitisha sheria ya bunge kutokuwa live? kwani kwautendaji wa kazi wa Raisi JPM hawanahaja ya kuficha chochote.

Raisi amechaguliwa na ameonyesha kuwa si mtu wa kulinda uozo popote uwe ndani ya chama tawala au upinzani anatumbua majipu popote wabunge badilikeni ili muende na kasi ya Raisi wetu mnamuangusha Raisi kwakutokuwa wawazi halafu mnatupa shida sisi tusio na vyama hatuwaelewi

Mimi nadhani baada ya uchaguzi Raisi au mbunge ukishachaguliwa wewe nikwaajili ya nchi siyo chama JPM kaonyesha mfano wabunge mko wapi?
 
Uwez ukuendesha gar bovu ukiwa ndan yake ladhima ushuke ulisukume
 
Kuna jambo haiwezekani,wana wa giza ni werevu kuliko wana wa nuru.
 
Back
Top Bottom