Wabunge wetu, tusaidieni utaratibu mpya wa Mfuko wa bima ya afya NHIF

Nashukuru, hatuhitaji ulinganisho kwenye "mahitaji" tunahitaji wide coverage basi hilo tu. Ukiwa na kiu unahitaji maji basi huna sababu ya kujua muhindi akiwa na kiu anafanyaje au muarabu au mzungu we unahitaji maji baaaasi hilo ndio hitaji!!!

Tudai maji kiongozi drinking styles zitakuja baadae kama straws au chupa, bombani au bilauri hiyo baadae sana

Tumlilie Rais Wetu Jk 0754777775,ni Msikivu, Kama Aliwasikiliza Wapinzani Wake Atashindwaje Kutusikiliza Sisi?
 
Wameweka Masharti Mapya Ya Hovyo Sana.1.Wategemezi Wengine Wamewatoa.Wamebakisha Wazazi Au Wakwe,nafasi Zipo Sita,fikiria Unawazai Wote 2,unawakwe Wote 2,wewe Na Mkeo Mpo 2,halafu Unawatoto 3. Maana Yake Watoto Hawana Nafasi Hapo.2.Ikitokea Huna Mke,wazazi Wala Mtoto,ila Unakaka,shangazi Aliyekusomesha Hawamtaki Umjaze Kwenye Bima Hvy Nafasi Zote 5 Zinapotea Bure Na Gharama Unazochangia Hazipungui.3.Mtoto Wako Akifikisha Miaka 18 Wanamtoa Kwenye Bima Ilihali Umri Huo Yupo Kidato Cha Nne Hajaanza Kujitegemea Hvy Utakuwa Unagharamia Matibabu Yake Na Bima Wanakata Kwa Kiwango Kilekile Cha Mwanzo Hakipungui. JAPO WENGI MMEKAA KIMYA KWA SABABU MLIOWAINGIZA KWENYE BIMA HAWATAONDOLEWA SASA SUBIRINI SK APOTEZE KITAMBULISHO CHAKE CHA BIMA NDO UTAJUA NINACHOKIZUNGUMZA HAPA JAPO UNAKIONA HAKIFAI. WABUNGE WOTE Mtusaidie, RAIS JAKAYA KIKWETE HAPA UNAHUSIKA KUTOA NENO LAKO UTUSAIDIE TUNANYONYWA HAPA.

Mkuu iyo ni simpo,ukitaka kumkatia bima ndugu yako nenda kascan cheti chake cha kuzaliwa andika surname lako kama baba mzazi ,if umri wake ni mkubwa upunguze
 
Wanakusanya pesa za kampeni, zilizopo wamshagawana zoootee....
Wamekuja na kila mbinu ya kukamuana, Wamekuja na mashine za EFD wafanyabiashara wamewadindiaaa...

Sasa wanataka kutumia hii mifuko kwa mtindo wa kusanya zaidi, tumia kidogo, chenji peleka kwenye kampeni.....

TUCTA mko wapiii? Kama vipi mgomoooo ama neneee...Solidarity....

solidarity forever
huu ni wizi wa waziwaz
 
Nimezisikia hoja zenu wengi wape na wengi mumeonesha kuchoshwa kesho lazima niwatume viongoz wandamiz waliongee Bungeni
 
itasemwa tu bungeni... ole wake mbunge aseme sawa tuchangie, tumkariri afu hatarudi mjengoni.. wanatunga sheria ngumu zisizotekelezeka! NHIF hawawezi kwenda bungeni-serikali ndo italeta mjadala- narudia OLE WAKE MBUNGE ATAKAYE UNGA MKONO!
 
Jennifa Hy Bima Wewe Uipatie Wapi Kusoma Hukusoma Ulitandikwa Mimba Darasa La Sita Kwa Kiherehere Chako Sasa Upo Nyumbani Kama Golikipa. TUACHE SISI WASOMI TUNAOJITAMBUA NA TULIO KWENYE AJIRA TUJADILI MAMBO YETU.WEWE NENDA KAUZE SAMBUSA YAKO KWA MACHENI NA OHIO STREET.

hahahahasaasa
asantrrr
 
Kwa kweli inaumiza sana ukiangalia pay slip makato ni makubwa sana, sasa bora mtu ufaidike nayo hiyo nhif isingeuma sana
 
Shule Arudi Wapi Huyo, ANANYEGE ZA PUNDA.MTU ALIJAZWA MIMBA AKIWA DARASA LA SITA LEO UMPE USHAURI WA KWENDA SHULE! USHAURI PEKEE AMBAO UNGEMPA NI KUWA KWENYE POCHI YAKE ASIKOSE KUWEKA KONDOMU ZA DUME. Pia Hao Watoto 5 Alionao Wa Baba Tofauti Wametosha, JENIFER ANAAKILI YA KUVUKIA BARABARA TU NA YA KUKATA VIUNO BASI.

Mwambieni huu Uzi wafanyakazi wa Kanjjbhai hauwahusuuu....
 
Nimezisikia hoja zenu wengi wape na wengi mumeonesha kuchoshwa kesho lazima niwatume viongoz wandamiz waliongee Bungeni

UTATUSAIDIA SANA, Kwanini Wawatoe Watoto Wakifikisha Umri Wa Miaka 18? Kwanini Wanichagulie Watu Wa Kuwaweka? Kwanini Iwe Lazima Kujiunga Na Mfuko Huo? Kwanini Wasiruhusu Ushindani? Kwanini Nafasi Ziwe 6 Ambapo Ukiweka Wakwe Zako Na Wazazi Wako Nafasi Za Watoto Japo 2 Zinakosekana? WATUME VIONGOZI WAKAZUNGUMZIE UNYONYAJI HUU.
 
Tena wasisahau hii ni nchi ya KIJAMAA, ( Mpaka watapokiri sasa tushakuwa mabepari rasmi)
Na utamaduni wa kiafrika familia ni zaidi ya baba, mama na watoto......Shangazi, Kaka, bibi, Dada ni sehemu ya familia...
Wasituletee habari zao kabisaaa...
 
Santeee
 
Kwa kweli inaumiza sana ukiangalia pay slip makato ni makubwa sana, sasa bora mtu ufaidike nayo hiyo nhif isingeuma sana

MBAYA ZAIDI TANGU UUNGANISHWE NA BIMA HUJAWAHI KUUGUA HATA MARELIA MWAKA WA 4 SASA,WATEGEMEZI HUNA,WAZAZI HUNA, MKE HUNA, WAKWE HUNA,WATOTO HUNA,makato Ya Bima Hayapungui Ni Yaleyale, HAWA NI WEZI WAKUBWA
 
Back
Top Bottom