Wabunge wetu na vipaumbele holele!

LENGEJU BOB

Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
53
Points
0

LENGEJU BOB

Member
Joined Nov 1, 2010
53 0
Mwanzo tuliskia “Bila miundo mbinu uchumi hauwezi kukua!”
Hilo likaambatana na “Hakuna naifa bila Elimu.. Kisha tukaambiwa “Kilimo kwanza!
Punde tu wakasema “Umeme ni Janga la Taifa, tuache yote tupate umeme!
Hakujakucha hili likavuma “Serikali isipodhibiti suala la mafuta mfumko wa bei utauwa wananchi, mafuta ndo kila kitu!”
Na leo alfajiri wameamka na hili “Maji ni uhai; bora tukose umeme na kila kitu, tupate maji, tuwahurumie wamama wanaoteseka kusaka maji, usiku kucha, maporini!

Fact: Bajeti ndogo
Swali chokonozi: Don’t you think we need to priorities our needs ? Tujadili..................
 

Forum statistics

Threads 1,352,889
Members 518,197
Posts 33,068,400
Top