Wabunge wetu na vipaumbele holela! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wetu na vipaumbele holela!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LENGEJU BOB, Aug 23, 2011.

 1. L

  LENGEJU BOB Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwanzo tuliskia “Bila miundombinu uchumi hauwezi kukua!”
  hilo likaambatana na “Hakuna Taifa bila Elimu..
  Kisha tukaambiwa “Kilimo Kwanza!
  Punde tu wakasema “Umeme ni Janga la Taifa, tuache yote tupate umeme!
  Hakujakucha, hili nalo likavuma “Serikali isipodhibiti suala la mafuta mfumko wa bei utauwa wananchi, mafuta ndo kila kitu!”
  Na leo alfajiri wameamka na hili “Maji ni uhai; bora tukose umeme na kila kitu, tupate maji, tuwahurumie wamama wanaoteseka kusaka maji maporini,usiku wa manane!


  Fact: Bajeti ndogo
  Swali chokonozi: Don’t you think we need to priorities our needs ?
  Tujadili...........
   
 2. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,402
  Likes Received: 3,728
  Trophy Points: 280
  Ni kweli tunahitaji ku priotise mahitaji yetu ukizingatia kuwa kuna yanayoyabeba mengine...............
   
 3. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Bunge linaenda kwa mdundo wa ngoma, ipigwayo ndo ichezwayo. (Au mmesahau...it is the piper...)
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,756
  Trophy Points: 280
  Kunawatu wanatumia maji taka na si maji safi,tena wanyama na binadamu wanayatumia kwa pamoja humo wanaoga kujisaidia haja ndogo pamoja na ile kubwa,wanakunywa,tanzania inahitajika nguvu za ziada na mtu mwenye uchungu na uzalendo wa kweli kwenye nji hii!si uzururaji na ufisadi tu
   
Loading...