Wabunge wetu kumbe wengi ni ma ""father christmass"" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wetu kumbe wengi ni ma ""father christmass""

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Jun 22, 2011.

1. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#1
Jun 22, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,464
Likes Received: 5,707
Trophy Points: 280
NILISHANGAZWA NA MAJIBU YA WAZIRI MKUU PINDA MIZENGO KUHUSU POSHO ZA WABUNGE NA WATUMISHI AKIJIBU SWALI LA POPO KWA HAPO..NAJUA MFUMO WA UONGOZI WA SERIKALI UNAWAAPA NAFASI VIONGOZI WA JUU KUNEEMEKA NAKUJILIMBIKIZIA MALI KADRI WAWEZAVYO..NILISIKITIKA ALIPOSEMA JAMBO LA POSHO LINAKUZWA NA  WABUNGE WA TOFAUTI NA UKUBWA WAKE KWA KAULI HIYO WAZIRI MKUU AONI KIASI CHA POSHO ZINAZOLIPWA WABUNGE ...NAJIULIZA HUY NDIE PINDA ALIEJIITA MTOTO WA MKULIMA  2008  MUDA AUKUPIA AKATANGAZA KUKATAA SHANGINGI AKIDAI GARAMA  PINDA HUYO HUYO LEO HII AMEGEUKA NA KUTETE A UOVU WA SERIKALINI NA ULIMBIKIZAJI MALI USIO NA AKILI..??

KILICHONISHANGAZA ZAIDI NI PALE KUSEMA ATI WABUNGE HUTUMIA POSHO HIZO KUWAPA WANANCHI WANAOWAFWATA MAOFISINI  WAKIWA BUNGEN NA KWINGINEKO..YULE YULE PINDA NAONGELEA BADO...KAMA MTUMISHI AMA MBUNGE ANALIPWA MSHAHARA NA POSHO  ZA SAFARI KWA NINI ALIPWE POSHO ZA VIKAO??YAANI MTU  KUINGIA OFISINI MWAKE LWA KUFANYA KAZI NAE ALIPWE JAMANI??

NAKUMBUKA MH SPIKO BINTI KIROBOTO NAE ALISEMA KAULI HIYO HIYO ATI WANAFWATAGWA MAOFISINI NA HIZO NDDIO HELA ZA KUWALIPA WANANCHI WAO WALIOWAPIGIA KURA...HAYO NDI MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA UMMA..MBUNGE SIYO FATHER CHRISTMASS ANAFANYA KAZI YA KUGAWA ZAWADI KILA ANAKOPITA KWA WALE WANAOFWATILIA HISTORIA YA YESU KRISTO  WANAKUMBUKA JINALA SANTA CLAUS ALIYEISHIULAYA ALIJIWEKEA MFUMO WA KUGAWA FEDHA NA ZAWADI KWA WATOTO  INAPOFIKA CHRISTMASS KILA INAPOFIKA CHRISTMASS TUNAONA WATU WAKIVAA MAANAGUO MEUPE KWA MEKUNDU WAKIGAWA ZAWADI HAO NDIO FATHER XMASS

NIONAPO HUKO NDIO WAZIRI MKUUWETU ANAKOTUPEELEKA YAANI WABUNGE WETUWAWE MA FATHER XMASS KILA MWANANCHI UKIMWONA MBUNGE UNAMWONA KAMA FATHER XMASS YANI KUNA ZAWADI IKO MBELE YAKO...

PAMOJA NA HAYO MH PINDA MWANA WA MKULIMA AJIITAVYO AKUFAFANUNUA POSHO WANAZOPATA WATUMISHI ENGINE WAZIGAWE KWA NANI??HUU NI UTAMADUNI WAKISHENZI UNAOONDOA DHANA YA UWAJIBIKAJI MBUNGE NI MWAKILI WA MWANANCHI  MSHAHARA ANAOLIPWA NI KWA AJILI YAKE  NA SIO KWA AJILI YA WANANCHI SASA KUNA ZILE FEDHA KWA AJILI YA JIMBO ZINAENDA WAPI???NI KWELI MBUNGE ANAWEZA KUGAWA ANAVYOTAKA LAKINI SI  KWA AJILI YA PESA ZA BUNGE ANAZOPEWA KWENYE POSHO ...NA NDIO MAANA PAMOJA NA POSHO KUSEMWA ZA WANANCHI BADO ANAPEWA ZA JIMBO NA KUTOKANA NA HILI NIMEAANZA KUJIULIZA HIZI ZA JIMBO ZINAFIKISHWA KWEELI KUNAKOTAKIWA??? PAMOJA NA KELELE ZA WABUNGE WAZIRI MKUU AMEITIMISHA SWALA HILI LINAZUNGUMZIKA NA ATAJITAHDI KULITATUA KWA MATAKWA YA WABUNGE HUYU NDIE MTOTO WA MKULIMA KANUSA ALUA KAONA TAMU SASA AMEANZA KUWAGEUKA WANANCHI

WENU MJUKUU WA
MKULIMA
AKA
PDIDY

2. M

Mbopo JF-Expert Member

#2
Jun 22, 2011
Joined: Jan 29, 2008
Messages: 2,532
Likes Received: 8
Trophy Points: 0
Inawezekana thread hii in ujumbe mzuri lakini jinsi maandishi yalivyowekwa, yanachosha hata kuyasoma.

Loading...