Wabunge wengine wahongwa tena; Baadhi waogopa, wazisalimisha kwa Spika

Halafu, hivi kwanini Wahindi wanapenda sana kutoa toa rushwa? Mimi nafikiri kwasababu ni wezi wa kila kitu, wanahamisha mapato kupeleka nje, na ndio maana wanashikia bango suala la uraia wa nchi 2 au zaidi waruhusiwe ili iwe rahisi kwao kusepa.

Ungeuliza hivi kwa nini viongozi wetu tuliowapa dhamana ya uongozi WANAPENDA SANA KUJIRAHISISHA NA KUPOKEA POKEA rushwa toka kwa wafanyabiashara? Kwa taarifa yako huyo mfanyabiashara ni mtanzania mwenzetu. Wahindi wako India siyo hapa nchini. Kuwa na asili ya india pekee hakumfanyi mtu kuwa mhindi.
 
Zomba hizi picha zako zinaniacha hoi sana, hii ndoa ya Chadema na Sabodo huwa inanifurahisha.
 
Huyo mfanyabiashara ni mwenyekiti wa moja ya klabu kongwe ya mpira wa miguu. Tusubiri rafu na rushwa itakayo itikisa soka la Tanzania hivi karibuni.

Unasubiri itokee mara ngapi? Fuatilia tu mizengwe iliyotokea ktk usajili ubaini ni kwa kiasi gani soka sasa limeingiliwa na viroja.
 
Pindi Chana ni tatizo kila sehemu

Kuanzia misimamo yake, familia yake, ubunge wake, dhamira zake, tamaa zake, na hata ine genye yake kwenye katiba

she is myopic, sick, manic you name it

SHE CANT EVEN HAVE A TWO MONTHS PLAN FOR GOODNESS SAKE
 
Lazima hao ni wabunge wa Ccm maana hao upinzani ni watu makini kwa sababu akunaay anaumwa lisu yupo nje ya nchi na mdee ndo hivyo kachomoa vijipes vya manji sasa unategemea waliopokea ukimtoa huyo mmoja ndg blanda the rest wamepokea!Magamba bwana!?sijui wanawaza nini majambazi haya chini ya dhaifu
 
Lissu yupo nje ya nchi wewe!mtu makini yule.

Mkuu imeandikwa kwamba hata ambao hawakuwepo walipa haki yao! Duu Lissu na mzee Mkono nao ndani ya 1m! Tumeisha.

Mdee naye sasa si angeenda kisha ayashinde majaribu!?
 
Lazima hao ni wabunge wa Ccm maana hao upinzani ni watu makini kwa sababu akunaay anaumwa lisu yupo nje ya nchi na mdee ndo hivyo kachomoa vijipes vya manji sasa unategemea waliopokea ukimtoa huyo mmoja ndg blanda the rest wamepokea!Magamba bwana!?sijui wanawaza nini majambazi haya chini ya dhaifu

Lakini mkuu kama ni kweli walipokea na wengine wakazisalimisha basi ni hatua nzuri kwamba kelele za mwizi huyooo, mwizi huyooo ambazo zimekuwa zikipigwa na wananchi zimeanza kusaidia. Hapo nyuma wabunge walikuwa wanajua ni haki yao kipewa brown envelopes. Walikuwa wakichukua bila hata wasiwasi lakini sasa inabidi wangalie kulia, kushoto kisha kulia kabla hawajatwaa bakshish.

Tuendelee kupiga makelele mwisho tutafanikiwa na wataacha.
 
Kweli nimeamini pesa ni sabuni ya roho mtu kama Nimrod Mkono, naye yupo kwenye orodha rushwa ya milioni moja.
 
Halafu, hivi kwanini Wahindi wanapenda sana kutoa toa rushwa? Mimi nafikiri kwasababu ni wezi wa kila kitu, wanahamisha mapato kupeleka nje, na ndio maana wanashikia bango suala la uraia wa nchi 2 au zaidi waruhusiwe ili iwe rahisi kwao kusepa.

Nakuhakikishia ukimuona mhindi Ana account bongo mchunguze sana na Kama anayo ni kwa ajili ya runing expenses za daily business zake na sio faida maana wote Wana account Europe na America tuu...
 
Mkuu imeandikwa kwamba hata ambao hawakuwepo walipa haki yao! Duu Lissu na mzee Mkono nao ndani ya 1m! Tumeisha.

Mdee naye sasa si angeenda kisha ayashinde majaribu!?

..............majaribu hayasogelewi ! (usiikaribie zinaa !)
 
Taasisi ya Kuruhusu na kufagilia Rushwa nchini - TAKUKURU.....Alitakiwa awe lupango huyu maana kuna ushahidi wa kutosha wa kumtia hatiani lakini hili halitatokea kwa kuwa Serikali DHAIFU imeshika utamu.
Kwanza hongera kwa kupatia kiferefu cha TAKOKURU, pili nakupa :peace:
 
Hivi Rage anahusikaje hapo na suala la rushwa ya kamati ya bunge? Ni vema kujadili ni kwa nini bunge letu limefikia hali hii tuliyonayo sasa, ingawa mhusika mmojawapo amehusishwa kuwa mwenyekiti wa klabu.
Ragee, raage, umeishaanza mizengwe na fitna zako,ukishilikiana na friends of simbaa wenzako.......

Tunakujua wee ni mzee wa fitna, majungu na uchonganishi!

Kama tumewazidi 'maarifa' kwenye usajili usitake kulipiza kisiasa!
 
Back
Top Bottom