Wabunge wengine wahongwa tena; Baadhi waogopa, wazisalimisha kwa Spika

Mbona Spika amekuja juu baada ya kupigwa maswali badala ya kufurahi kwamba chombo cha habari kimesaidia kuonyesha udhaifu wa Wabunge wa Kamati hiyo? Huyu naye haeleweki. Kuhusu wabunge kupewa mshiko. Hili li nchi kila mtu anahomoa kulingana na kazi yake. Hii ndiyo dira ya maendeleo ya CCM. Acha wahomoe wakati ni huu!!
 
Haya sasa, Bunge la KITU KIDOGO na vitegauchumi vyake toka kwa wafanyabiashara wachafu nchini huku zikipokelewa rasmi siku hizi kupitia kwa wenyeviti wa Kamati za Kudumu.

Daahhh, CCM uozo kila mahali!!!!
 
Maskini Yanga yetu!

Ha ha ha.. Mkuu yule muhindi atauza kiwanja kile cha Kaunda.. Kapinda vbaya yule.. Imagine ameuza kiwanja cha waislam Chang'ombe pamoja na mikwala yote ile.. Marehemu baba yake akasome namba kwa Manji Junior...
 
Hii nimeipenda sana.
'Miongoni mwa waliokataa mwaliko na hundi hizo ni Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Chadema). “Nakuhakikishia kuwa sikupokea, mimi ni masikini jeuri, nilikataa kwenda kwa sababu nilijua ni masuala ya rushwa,” amesema Mdee'.

Mbona hawatuambii ngapi wamepokea?
 
Sijaliona jina la NIMRODI MKONO ina maana naye alitulia na Cheque yake,hebu ngoja wenyewe wajibu maana wamo humu
 
Back
Top Bottom