Wabunge Wazalendo Someni Hapa Muone Ufisadi Mwingine Kupitia GPSA

mkuu si swala la PPRA tu hata mamlaka zinazotoa leseni nazo ni za kuwajibishwa kwa kutoa leseni kwa kampuni zisizokuwa na makazi

Ningekuwa na mamlaka ningepitia orodha yote ya makampuni yaliyopitishwa na GPSA ili kujiridhisha. Ningeenda mpaka BRELA nifukue na wamiliki wa makampuni hayo. Bila shaka, ningekamata wakubwa wengi.
 
Kuna kila dalili kuwa CCM ya sasa haiwezi tena kurudi madarakani, CCM haina dira wala muelekeo, Sera na Itikadi za Siasa ya Ujamaa na Kujitegemea iliyokuwa inasisitiza umoja na mshikamano miongoni mwa Jamii yetu iliondolewa na tayari imefutika katika mioyo yetu.
CCM iliyoiga itikadi za kibepari imeshindwa kabisa kujua nini cha kuwafanyia wananchi wake badala yake inawatumikia wageni wawekezaji pengine kwa kujua ama kutokujua! CCM wamekubali kuchukua kila wanacholetewa na IMF na WB hata vile ambavyo Mwasisi JKN alivikataa tena kwa kutoa angalizo " Mtu mwenye akili akikushauri jambo la kijinga na wewe ukalikubali ...atakudharau" Wazungu wameshajua weakness za viongozi wa CCM, Wanajua namna ya kuendelea kukwapua rasilimali zetu! Balozi zao nyingi thru NGO zinafanya uharamia mkubwa kwenye madini yetu, Kwao CCM ni sehemu ya kampuni yao ya ulinzi...
Siasa ni Career kama zilivyo ajira nyinginezo:- 2015 si Mbali hata kidogo, Huu ni wakati muafaka wa kuanza kujijenga na kujenga imani kwa wapiga kura wenu! Huu ni wakati wenu wa kurudisha imani kwa watanzania, Huu ni wakati wenu wa kujitafakari na kuchukua maamuzi sahihi badala ya kuendelea kuishi kinafiki kwa muda mfupi Wakati dhamira inakusuta na madhara yatakuwa makubwa siku za usoni ...
Deo na yule Mhe mbunge wa Mwibara tayari wameonesha njia, Natumai na Ester Bullaya nae atafuata mstari kuonyesha kuwa Serikali hii si ya CCM ile iliyotuingia kwenye mishipa yetu ya damu! Nchi inabemendwa mbele na nyuma! Fanyeni Kweli ili Uchaguzi ujao tuwapokee kwenye chama kitakachoweza kutimiza ndoto zenu za kuwaletea wananchi maendeleo ya kweli badala ya TUME Extras kila kukicha ...
 
MODS Pls... Muwe mnatenda haki... Huu Haukustahili kuunganishwa huku tena kwa haraka kiasi hiki! Mbona kuna uzi wenye ----- kibao mnaziacha? Au hamtaki CCM iambiwe ukweli?... Mnaharibu jukwaa
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom