Wabunge wawe at least graduates kwenye katiba mpya ya tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wawe at least graduates kwenye katiba mpya ya tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makame, Jul 21, 2012.

 1. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau, mnaonaje? Maana ni aibu kuwa na wawakilishi ambao hata basic issues kwao inakua rocket science
   
 2. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Halafu inabidi wafanyiwe na interview kabisa tena sio moja.
   
 3. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  mna ugomvi na lusinde na ngonyani. Of coz kama bunge ni kutunga sheria na wewe hujawahi kukutana hata na ka com skils si ni lzm utapeleka povu bungeni? hiyo iwe ni lzm atleast graduate. Unawezaje kuwa mbunge hata computer huijui?
   
 4. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  kama ikipita, basi sugu, mnyika, mbowe out, huena cdm wakabaki na mbunge 1
   
 5. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kinachoangaliwa siyo elimu ila ni utendaji ni wangap walipigwa chini 2010 pamoja na madgree yao? Kwa iyo utendaji ni bora zaid kuliko ujuzi!
   
 6. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Na wapiga kura wawe ma-proffessor, itakuwa pouwa!!!!! Itakuwa imebalance
   
 7. RICARDO KAKA

  RICARDO KAKA JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 867
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  na miandiko jaamani msisahau.....!!!!!!!!
   
 8. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,764
  Likes Received: 6,080
  Trophy Points: 280
  Mkuu interview gani tena zaidi ya kampeni na hatimaye sanduku la kura? Tatizo lipo kwetu sisi tunaofanya usaili yaani sisi wapiga kura. Tunasumbuliwa na ujinga, mizaha, na kufuata mikumbo.

  Hebu fikiria, kwa ujinga tu, mtu hataki tu kwenda kujiandikisha na hawa wako kwa maelfu! Na wachache wanaojiandikisha ni kwa kuwa baadhi wanahitaji kitambulisho cha mpiga kura kwa "matumizi mengine".

  Na wachache wenye dhamira ya kweli ya kupiga kura hawaendi kwenye kampeni na wakienda hufuata manufaa binafsi au njaa zinawasumbua (vijisent, fulana, pilau, pombe, n.k.) au kwa sababu ya ushabiki tu badala ya hoja (CCM vs CHADEMA vs NCCR vs TLP vs ADC) na wachache wanaopiga kura baadhi hawajui kwanini wanafanya hivyo au hufanya kwa sababu ya ushabiki tu badala ya kujali uwezo wa mgombea - eti kwa kuwa fulani ni wa dini yangu - hivyo tu basi!

  Tatizo kubwa ni elimu duni ya uraia; uduni ambao magamba wanautumia watakavyo kufanya watakavyo na hili ndilo linalotugharimu. Vituko vyote vya Bungeni ni kutokana na udhaifu huu wala hakuna cha interview wala nini.

  Haingii akilini kwa mfano mwaka 2010 waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 20 lakini waliojitokeza ni pungufu ya nusu! Kuna udhaifu mkubwa.
   
 9. Githeri

  Githeri JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 820
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tena public interview
   
 10. Githeri

  Githeri JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 820
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Elimu muhimu. Usitetee ungumbalu
   
 11. Makame

  Makame JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2012
  Joined: Jan 3, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli

  maana inatia aibu,

  kuwa na mheshimiwa mbunge ambaye unaona hata aibu kusema ni mbunge wa bunge letu tukufu.

   
 12. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  na gpa za above 3.5 ..
   
 13. b

  bid2015 JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  gpa haina maana, nilimaliza gpa ya 2.2 nikaanza na kazi mshahara milion 2.4 mwenye gpa ya 4.6 hajapata kazi
   
 14. m

  majebere JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  CDM watasema ni mbinu za kuwatoa bungeni, we jiulize atabaki nani wa CDM? Wabunge wao karibu wote elimu ni ziro.
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  of koz i was being silly, suala la degree kwa wabunge is a conundrum which will never be addressed by magamba nor chademu maana nyoka haezi kung'ata mkia wake mwenyewe.
   
 16. E

  Eddie JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 516
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  .........maskini Mbowe naona mna mtengenezea jungu.....
   
 17. m

  majebere JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,520
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  We hujui kama mbowe anayo PHD ya kutengeneza cocktail. Mix zake si za kawaida.
   
 18. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #18
  Jul 21, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mb. Mkumba atausikia ubunge kwenye bomba manake yeye ni darasa la 7 then ni mwl. wa upe.
   
 19. Kikarara78

  Kikarara78 JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,162
  Likes Received: 514
  Trophy Points: 280
  Makame na Wana JF,
  Kamanda, Mimi napingana na wewe kidogo kwa hili:
  1. Utawanyima Haki Wananchi aka Watanzania ambao hawakupata fursa ya kwenda shule kwa sababu mbali mbali kama Ujinga, Uzembe wa kutambua Elimu, Kutokuwa na Ada na Karo za shule (Hapa kundi hili ni kubwa wasio kuwa na uwezo wa kwenda shule), kipato duni cha maisha.
  2. Sio watu wote waliosoma, wanafanya Maamuzi ya Busara, kwa hiyo kigezo kama ni Elimu, Je hawa Wasomi, wametusaidiaje kwenye Nchi yetu ya Tanzania ???
  3. Kuna mambo mengi ya Msingi tungeangalia, kama Anayetaka kuwa Kiongozi, Je yupo karibu na Wananchi wake, Utendaji wake wa kazi upoje ??? Mwadilifu ???
  My Take: Kufeli shule au kukosa Elimu sio Kufeli Maisha, hapa tuangalie Uadilifu, Kujioa, Bidii ya Kazi, na mengine mengi mazuri.
  Nawakilisha


   
 20. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,075
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  kama nataka kukubaliana na hili .... nchini china viongozi wa kiserikali wote ... wanafanya mtihani maalum! mfano mkuu wa wilaya huupati kwa kuteuliwa .. mnapiga paper ...! wachina walivyokuwa wengi lazima kichwa kitakacho toka kidedea kiwe ni kichwa cha maana. & ofcorse sharti lazima awe member wa communist party ... sometimes democracy naona kama inaturudisha nyuma
   
Loading...