Wabunge watupe mrejesho wa fedha za mfuko wa Jimbo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,722
141,585
Binafsi sijaona kabisa faida ya fedha za mfuko wa jimbo katika jimbo langu la uchaguzi la Kawe.

Inawezekana zinafanya kazi lakini kwa kuwa mbunge wetu haitishi mikutano ni vigumu kuelewa.

Napendekeza kuwa hawa wabunge kama watagombea tena 2020 basi watujuze kwanza fedha yetu ya mfuko wa jimbo ilivyotumika kwa miaka yote mitano. Hili pendekezo ni kwa wabunge wote ukiondoa wale wa viti maalumu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kama bilioni moja ilisemekana ni hela ya mboga, hiyo 35m@month si uchafu tu?
 
Uzi wako usipounasibisha na Chadema haujakamilika,wanakulipa kiasi gani?

Back
Top Bottom