Wabunge watoka nje ya Bunge Zungu anaendesha Bunge kibabe Lema ainuka na kusema analo jina la ofisa aliyeshiriki mauaji

je na kiki yakuiba trilioni 1.5 na kufanya maigizo naona meanza kwenda kwenye majimbo yawapinzani nakutaka wapande majukwani wawafute machozi
Huoni wenyewe wanakubali kazi nzuri inayofanywa na serikali nyie mmebaki kulialia tu humu Jf
 
Sijawahi ona ANY IMPACT YA HAWA JAMAA KUTOKA NJE YA BUNGE....Zaidi ya maigizo
haha mabwana wale mabepar waliohidi pesa leo mkawaita wafadhili baadala ya wahisani ndio maana huwa hawatoi pesa zote kwa upuuzi mnaowafanyia wapinzani? hii kwako sio impact? impact ni kuwa na akili kama kibajaji? mwili mkubwa kichwa kidogo
 
Siku hizi wauwaji wanashitakiwa bungeni. Itabidi tuwaambie majaji na maofisa wa makosa ya jinai wakapumzike maana kazi yao inafanywa na bunge.
 
Fikiri upya urudie kupost kitu kinachoeleweka
musiba anawaita wazungu mabepari, magufuli anawaita mabepari akihoji anasema wanagumiwa na mabeepari .leo anawaitawahisni kisa wameahidi kutoa pesa kwenye bajdgi
 
Back
Top Bottom