wabunge wetu kutoa rambirambi hii kwa ubalozi wa japani ni sahihi? Mbona hatujawaona wakitoa hata shilingi kwa wenzetu wa gongo la mboto? Mbona hatuwaoni wakiwasaidia wenzetu wanaokufa na njaa kwenye maeneo ya vijijini? Au kwa sababu hamna kamera kule? Ama kweli mwenye nacho huongezewa.