Elections 2010 Wabunge Wateule Tayari Waonekana Ndani ya Nyumba!.

Kuna mapungufu sana katika hii Tovuti

Arumeru Magharibi- CCM
Buchosa: CCM
 
Kigoma Kusini naona imerudiwaa mara mbili. kulikoniii?? halafu Buchosa Chadema imeshindaa??????
 
Watakwambia wana wataalamu wachache wa IT
Wamewezeswa kila kitu na UNDP, wamepewa laptop na scanner, kila jimbo ili wakishahesabu, watangulize matokeo kwa internet na baada ya hapo wascan na kutuma NEC. internet moderm zinazoshika mitandao yote!. Hizo computers ziko installed na spreadsheet za kujaza tuu matokeo na ukichakachua zitajua, wameziweka pembeni, sasa ni kuchakachua kwa kwenda mbele.

Naamini baada ya uchaguzi huu, Mwenyekiti na Mkurugenzi wake, waacheni wastaafu kwa amani. Yule kijana wa Zek aletwe ku head NEC ni funga kazi!.

Kwenye write up ya UNDP, Election Support Project, walisema matokeo yangekuwa interactive as they come in through digital big screen huku tunaona. Sasa imekuwa ni vice versa, yakija, kwanza yapikwe, ndipo tupakuliwe hakuna cha interactive wala big scree zaidi ya projectors!.
 
Kigoma kusini nani mshindi?, manake kwa mujibu wa hiyo tovuti ya Bunge wameandika majina mawili kwa jimbo moja la Kigoma Kusini. Wameorodheshwa GULAMHUSSEIN SHABANI KIFU wa CCM na DAVID ZACHARIA KAFULILA wa NCCR-MAGEUZI.
 
kinachoniuma ni ile hali ya kupiga kura siku moja na BRAZIL......!again wao walimpata rais on the very same day!

tunaweza SINGIZIA advancement ya sayansi na technolojia lakini hata kama......SIO KIHIVYO!

IMANI YANGU:haya matokeo kwa nchi nyingi zinazoendelea yanacheleweshwa PURPOSELY
 
:yield:
 

Attachments

  • 76659_450871466810_667886810_5801310_3712929_n.jpg
    76659_450871466810_667886810_5801310_3712929_n.jpg
    19.7 KB · Views: 35
mbona tundu lisu simuoni kwenye list au kunani hapa??????????? isije ikawa wanataka kumchakachua:bowl:
 
Back
Top Bottom