Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,014
- 1,498
Nguvu za kiumeee!!Nguvu za akili au nguvu za mwili?
Nguvu za kiumeee!!Nguvu za akili au nguvu za mwili?
KabisaaHata wakitolewa nje wote. Hawana faida.
Hata kwake watakuwa na shida naona wanatamani vikao vya Job visiishe akaage tu Dodoma. Maana km angekua na nindham na mkewe asinge mvalia njuga Mdada wa watu kwn aliona unju au wezele ndo lilomchanganya.........!!!!???Kakaa kikudakuda sana alafu
Ova
HahahaHata kwake watakuwa na shida naona wanatamani vikao vya Job visiishe akaage tu Dodoma. Maana km angekua na nindham na mkewe asinge mvalia njuga Mdada wa watu kwn aliona unju au wezele ndo lilomchanganya.........!!!!???
👍Asante sana..
Mimi nimetoa maoni yangu tu kwa namna nionavyo...
Narudia kusema tena, hayo ni maoni yangu. Naweza kuwa sahihi au wrong...
Nawe unaweza kusema kwa namna uonavyo/unavyoliona jambo...
Huoni tatiizo kwa sababu hujui kanuni za BungeInawezekana...
Lakini all in all, binafsi sioni tatizo la mavazi aliyovaa mama huyo...