Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,294
- 24,118
Huyo ni mzee wa chabo!Huyu mbunge wangu naona sasa kazi imemshinda, watu wake wa jimbo tuna changamoto nyingi mfano maji vijiji vingi havina maji mradi wa maji kutoka ziwa victoria pale nyamtukuza haujakamilia sasa kageukia kuangalia akinadada wamevaa nini bungeni badala ya kusimamia hoja za msingi juu ya wananchi wake