Wabunge wasizibwe midomo waachwe waseme ukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wasizibwe midomo waachwe waseme ukweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NG'OMBE, Jun 18, 2011.

 1. NG'OMBE

  NG'OMBE JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 362
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naomba wabunge wasiingiliwe wakati wanawasilisha michango yao ktk vikao vya bunge vinavyoendelea huko bungeni. Sipika kama hawezi kusimamia bunge na anataka kuwa waziri aachie nafasi wengine na amuombe jk amteue kuwa waziri ili ajibu hoja za wabunge. Pia kitendo cha wabunge wa ccm kuingilia wakati wabunge wa upinzani wanachangia hakifai hata kidongo. Kama hawana hoja ya kuongea wakae kimya. Tunajua walikuwa wamezoea kupongeza serikali na kuunga mkono hoja, sasa wanapoona mwingine anasema ukweli wanaumia sana. Nawaomba wabunge wa ccm wabadilike maana moto uliowashwa na jina hauzimiki utawaka nchi nzima na asiyetaka kubadilika ni lazima ataondoka mjengoni 2015 na vijana tumejipanga kwa hili na tunawafuatilia wabunge wote kwa karibu sana.
   
 2. h

  hans79 JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  vijana taifa la leo kwan ndo nguzo za mabadilko,viva CDM ALUTA CONTINUA
   
 3. p

  plawala JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani ingekuwa vizuri listi ya wanaotetea maslahi yao binafsi na kuyaacha ya watanzania iwekwe mahala,hata hapa JF ili mikakati ifanywe ya kwaangusha 2015
  Serious,atuwezi kuendelea na wabunge vilaza mjengoni,kwa mfano kauli ya kuchambua na kuikosoa hoja na mwishoni anaiunga mkono 100/100
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Magamba hawawezi kuacha wakiumbuliwa watawaziba mdomo!
   
 5. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 6,025
  Trophy Points: 280
  Ndugu Ng'ombe; unapoteza muda wako kushauri wasioshaurika. Hawa jamaa wamelishana yamini. Wao na chama chao hawatakaa wabadilike hata Isa bin Mariam arudipo. The only solution ni nguvu ya kura tu hakuna jinsi nyingine.
   
 6. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Bunge ni mahali pa heshima na hoja zenye mantiki. Siyo wadi ya wagonjwa wa akili.siyo siri cdm inao wabunge watau ambao katika Hali ya kawaida wanastahili kuwa milembe na siyo bungeni. Hawawezi kuachiwa waharibu heshima ya bunge na kufanya wabunge wote waonekane ni wagonjwa wa akili.
   
 7. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ng'ombe unahangaika na magamba haya mpaka kije kumbunga au gharika ndio wataelewa vinginevyo wao ni kuunga hoja mia kwa mia wakati kaikosoa yote na kutaka mabadiliko lakini mwisho anaunga "mia kwa mia"
   
 8. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Hilo bunge la heshima unalolisema ni lipi? Au ni hili la dodoma? Kama ni hili la dodoma hakika una akili za mbung'o,Hivi huoni hao magamba wamelitia gundu bunge na cdm inatumia nguvu nyingi kuliletea bunge heshima.Wewe kweli ni bulicheka hasa na huna adabu ukiona huna cha kuchangi kalale.
   
 9. M

  Mkali wa Leo Member

  #9
  Jun 19, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hamna akili tu humu jf.
   
 10. Makoye Matale

  Makoye Matale JF-Expert Member

  #10
  Jun 19, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 6,480
  Likes Received: 450
  Trophy Points: 180
  Kanuni zitumike kuweka mambo sawa bungeni. Kama Spika hatendi haki kwa usawa basi bunge limtendee haki yeye. Siasa zilikoma baada ya wananchi kuwachagua viongozi wao, hivi sasa ni wakati wa kujenga nchi yetu sio wakati wa siasa tena.
   
Loading...