MIMI SIDHANI kama kweli Waziri Mkuu anajua na kuelewa maana ya head prefect, yupo yupo tu kisanii.Mwenye dhamana ya kulisimamia hilo ni waziri mkuu ambae ni head prefect wa mawaziri ambao ndio wako mstari wa mbele kudharau si tu maagizo ya bunge na CAG bali hata maagizo ya appointing authority wao ambae ndio Rais!!
Kuna kitu sielewi hapa. Raisi anateua wajumbe wa bodi. Halafu raisi huyo huyo anatoa waraka wa kusema kwamba wabunge wasiwe wajumbe wa bodi. Sielewi kinachotaka kusemwa hapa. Sielewi kabisa au ndo kama kawaida upande mmoja wa nchi hauna mawasiliana no upande wa pili. Kama ilivyo mikoa ya kusini ukilinganisha na mikoa ya kaskazini?