Wabunge Wasiwe Kigeugeu Kwa Wananchi

Saatatu

Member
May 31, 2013
83
28
Wanasiasa hawa walipitisha sheria hizi za madini na zingine kwa mbwembwe nyingi alafu leo wanajifanya HAWAZIJUI na eti wanasikitika kuona wameibiwa mno.

Wasiweweseke kwa hili, watuombe radhi waTz.
 
Siku zote wakubwa wakipumua kupitia vile vipua vya chini na kuchafua hali ya hewa, husingizia watoto. Ila wakubwa wenzao tunaelewa mchezo.
 
Elimu yao ndiyo tatizo. Sasa hivi hawaungi mkono hoja, mpaka magu awe ameiunga mkono
 
Back
Top Bottom