Wabunge wasioongea Bungen tuwavunjie vyoo magari yao-wazo tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wasioongea Bungen tuwavunjie vyoo magari yao-wazo tu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 29, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,464
  Likes Received: 5,706
  Trophy Points: 280
  Pengine baadhi atutakuwa wote lakini ukweli utabaki kuwa hivyo hawa wapuuzi wanaoenda bungen kusaini
  posho na kurudi kisa kuogopa kuondolewa uchaguzi ujao ifike sasa tuseme tumechoka ..wale wanaojibu upuuzi na
  pumba si haba wananchi kuwarushiia mawe kuanzia pale dom jamani ili wawe naheshima kwamba wananchi ndio
  waliowachagua na si wake zao ama watoto zao..

  Yaani bunge limekuwa kama ngo kuna mibaba imejaa kujaza mavitambi nakufanya umalaya tu mpka katoto chetu -wema kameshindwa kurudi na wenzake kisa waziri mkuu na posho zake kasema ni za kuwagaia wananchi...mi nafikiri
  ifike watanzania tuseme basi huu upuuzi uieshe ikishindikana tuwamwagieile aliomwagiwa mkurugenzi wa zanzibar
  jamani ..inaumiza kuna haja gani sasa kuwa nao ??
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Mkuu tuanze na Rose kamili
   
 3. A

  ACTIVISTA Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuvunja vioo sio suluhisho, hawa wantakiwa kuondolewa bungeni either kwa kura kipindi cha uchanguzi ua kwa nguvu ya umma, maandamano jimbo kwa jimbo mpaka wajiuzulu....hili linawezekana tufanye kama kweli mnania.. tukivunja vioo watanunua vingine posho na mishahara wanayo lipwa ni mikubwa... ikivunja kioo wananunua gari jingine..... tuwang'oe hawaaa hiii ndio suluhishoo.
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Na hao wapiga kura sijui wanawabeba na nini, kupeleka watu mabubu huko mjengoni kila leo.
   
 5. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Wapo wengi siyo huyu tu, majina tu sijawajua vizuri.
   
 6. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Paulina Philipo Gekul
  Conjesta Leos Rwamlaza
  Susan Kiwanga
  Grace Sindato Kiwelu
  Susan Lyimo
  Christowaja Mtinda
  Anna Valerian Komu
  Mwanamrisho Abama
  Joyce Mukya
  Naomi Kaihula
  Chiku Abwao
  Rose Kamil Sukum
  Christina Lissu Mughiwa

   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  ingekua vizur ungeweka na vyama vyao kabisa.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,779
  Trophy Points: 280
  to hell.
  nyinyi jamaa mnakaa ikulu
   
 9. a

  andry surlbaran Senior Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  sipendi aina yako ya siasa ambayo unataka kutuaminisha kua uko sahihi!! kama una pesonal int rests shauri yako sijui mkeo alitoswa! hata sikuelewi mara mkumbo hivi mara sijui lucy nani aaarghh we MALARIA SUGU wa pili
   
 10. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Unataka kuniambia wewe ulimchagua mbunge wako ili akaongee bungeni!?
   
 11. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,226
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Si bora hawa waliokaa kimya kuliko walioongea yasiyoleta mabadiliko.
   
Loading...