Wabunge Wasiokuwa na Tija kwa Majimbo

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Watanzania wenzangu nilikuwa na ziara katika majimbo ya Kawe, Ubungo, Mbeya Mjini, Iringa Mjini, Rombo, Singida Mashariki, Hai na Kigoma Kaskazini nimekutana na mambo yasiyoridhisha katika halmashauri husika. Wabunge wao wameshindwa kukaa chini ili kusikiliza kero za wananchi na kuzitafuatia ufumbuzi.
Wananchi wa maeneo hayo wamesema "wanajuta kuwachagua wabunge ambao wawapo bungeni wanashikiria maslahi ya chama zaidi kuliko matakwa ya wapiga kura". Mbaya zaidi wabunge wao wanatumia muda mwingi kuhamasiha wananchi washiriki maandamano badala ya kuwahimiza wafanye kazi ili wajiletee maendeleo. Wanachadema muwe wawazi kuwaambia wabunge wenu WABADILIKE!!

Kwenye red: Wamefanya kazi kwa miaka 50 and look what they got, mkokoteni ajili ya kubebea wagonjwa!
 
Yani wewe hata Statistics hukusoma. Yani hiyo ndiyo Sample inayorepresent Population of the study?

TUMBIRI wa JF,
P.O BOX PM JF.
 
wanajuta unawase mea wewe ?? waulize wanambeya rais wao nani , waulize wanairinga na wana arusha watakwambia , hacha kuwadanganya watu bwana, walikwambia wanajuta watakuwa walikudanya coz ndo habari uliyokuwa unapenda kuyasikia, endelea kujilisha upepo uone kama CDM itadondoka
 
Kero zao ni kupanda kwa bei za vyakula, kushuka kwa thamani ya pesa yetu, hata wewe linakuhusu!
Maisha magumu kwa kila mtanzania.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
​mbona umeona hao wachache wa CDM na kuna kama 270 wa magamba ambao hata hawajulikani kama ni wabunge mpaka wapigwe picha wakiwa wamelala ndo tunajua kama ni wabunge?
 
Wabunge wote wa CDM hawana tija na mtaona watakavyong'olewa 2015!
 
mkuu unakazi ngumu kwel kwel,sawa na kumtetea mtu ambaye ametenda kosa mbele ya polisi na majaji [katika sistimu ambayo haijagubikwa na rushwa]. Jitahdi lakini, utafanikiwa.
 
Kwenye red: Wamefanya kazi kwa miaka 50 and look what they got, mkokoteni ajili ya kubebea wagonjwa!
Tangu tupate Uhuru ndio kwa mara ya kwanza vihoja hivi vya kupitisha sheria za kununua vitu chakavu.
Kuleta mkokoteni kubebea wagonjwa.
Sasa jiulize unapanda au unashuka?
Mbona wao kama viongozi wanashindana kubadilisha magari speed 800 halitaki wanataka vx speed 1000

  • Thanks
Reactions: FJM
Waliolala wawekee Mosquito net ili mbu wasiwasumbue waendelee kulala......

Mwenyewe anachekeleeeeaaaaa!!! kalagabaho JK!@\
Unapewa net za mbu unauza unatoa Uranium bure???
Ana akili au tikiti maji tu kama hili lililo weka hii thread!!
 
Kwenye red: Wamefanya kazi kwa miaka 50 and look what they got, mkokoteni ajili ya kubebea wagonjwa!

NI vyema ukapitia kazi na wajibu wa wabunge, halafu ukaja na detail kwamba ktk huo wajibu ni upi haukutimizwa, otherwise you can come up with any stuff.
 
Tangu tupate Uhuru ndio kwa mara ya kwanza vihoja hivi vya kupitisha sheria za kununua vitu chakavu.
Kuleta mkokoteni kubebea wagonjwa.
Sasa jiulize unapanda au unashuka?
Mbona wao kama viongozi wanashindana kubadilisha magari speed 800 halitaki wanataka vx speed 1000

Serikali inamiliki magari yenye thamani ya TSHS 5 Trillion kwa ajili ya wakubwa, lakini walipa kodi wanapewa mkokoteni wa kubebea wagonjwa. Na sasa mkokoteni umeharibika wananchi wamebaki kushangaa! 50 yrs ya uhuru!
 
Hapo kwenye KAWE, UBUNGO na IRINGA MJINI umekosea kabisa kwa sababu mimi ni mwenyeji wa maeneo hayo na hakuna KERO kubwa ambazo wabunge wamelalamikiwa. Pia ni uongo mkubwa, hakuna mbunge wa CDM ambae huwa anatetea maslahi ya chama akiwa bungeni, wabunge wote husimama kidete kutetea maslahi ya nchi, hata wapenzi wa CCM wanalijua hilo.... ACHA UNAFIKI WA UZUSHI!!
 
Bigirita naomba ruhusa ya kuifanya hoja yako kuwa yangu. Uskatae tafadhalii.
 
Last edited by a moderator:
Wafuasi wa CDM ni wagumu kuwa karibu na UHALISIA; mfano mdogo katika wilaya ya Kinondoni; majimbo yenye kero lukuki ni KAWE NA UBUNGO. Jimbo la Kinondoni kero zimedhibitiwa na Mbunge husika, Mheshimiwa Iddi Azzani ambaye yupo karibu na wananchi
 
mbona umetembelea majimbo yanayoshikiliwa na chadema....umepitia pia na zile jimbo za ccm ukaangalia uchafu na maovu yanayofanywa huko??
 
Back
Top Bottom