Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,593
- 30,446
KAMATI YA UONGOZI WA CCM INATARAJIA KUKAA KWENYE KIKAO CHAKE HIVI KARIBUNI NA BAADHI YA WABUNGE AMABO WAKO KWENYE KAMATI WAMEAPA KUMLIPUA CHENGE NA KUTOA MAAMUZI AMBAYO WANAHISI YATAWACHANGANA VIONGOZI WENGI KAMA SI WATANZANIA...WABUNGE WAMEKASIRISHWA PIA NA KAULI ALIZOZITOA MH CHENGE WAKATI AKIJIBU TUHUMA ZAKE...WABUNGE HAO WAMESEMA WAO HAWATAANZA ILA WATASUBURI HOTUBA ZA WAZIRI MKUU KAMA ATAGUSIA AU LA KAMA SIYO BASI TUTAJUA NINI CHA KUFANYA WALA WANANCHI MSIWE NA TAABU ..UMEFIKA WAKATI WA CCM KUBADILIKA NA SI KULINDANA ALISEMA MBUNGE HUYO...WAUNGE WALISEMA INAKUWAJE MTU ALIEKUMBWA NA TUHUMA NZITO KAMA HIZO ZA UFISADI ASIJIUZULU MPAKA AANDIKWE MAGAZETINI........
UJUMBE KWA JF::
""TUZIDI KUOMBA MUNGU AZIDI KUFUNGUA MILANGO WABUNGE WA CCM WAONE UMUHIMU WA KUJALI NCHI YAO NA KUIPENDA""
UJUMBE KWA JF::
""TUZIDI KUOMBA MUNGU AZIDI KUFUNGUA MILANGO WABUNGE WA CCM WAONE UMUHIMU WA KUJALI NCHI YAO NA KUIPENDA""