Wabunge waomba Bunge la Dharura kama JK asipowawajibisha mawaziri

Hivi Kikwete ni mwenyekiti wa kamati ya mazishi afrika? Kutokana na uzito wa matatizo ya nchi yake alitakiwa amtume mwakilishi, mbona nchi zingine zimetuma balozi zao? Kwanini iwe ngumu kwa jk?

Niliwahi kuongea na mama mmoja mwajiriwa serikalini akaniambia kuwa huwa anapenda kusafiri safari za kiofisi na kuondoka nyumbani kwake, kwani akiwa huko safarini anapata amani sana, anasahau matatizo ya nyumbani kwake. Sasa naweza elewa kwanini raisi wetu anakurupukia safari hata ambazo angeweza kutuma wawakilishi.
 
Wivu wa kike Kama kawaida yako !
 
Kwa wale wabunge wa ssm waliosaign basi ni mashujaa wetu wa mwezi jamani manaona je

Kweli kabisa na nadhani hawa ndo wale walioshinda kweli bila wizi wa kura na wana uchungu na wananchi wao wanaowawakilisha!
 
Nimesikitishwa sana na rais kuthamini msiba kuliko kinacho jiri katika nchi yake.
Huyo Muthalika hata amlilie vp hafufuki kamwe
 
Huyu Mwanaume ni mbweha kweli jamani msimsingizie mama wa watu hata yeye kapata shida kweli kulea watoto wake...
Madaktari wamegoma watanzania wanakufa yeye kakimbilia nje... sasa hivi bado kakimbilia nje... halijui kutatua matatizo kwa hiyo yeye kusafiri ni kukwepa challenges...
akirudi atawaita wazee wa Dar- es Salaam sijui ndo waliomuweka madarakani... tutakuja na mayai viza.
 
Back
Top Bottom