Wabunge wangu toka Kagera mbona siwaoni mkitoa changamoto bungeni jamani?

kanywa mata

Member
Mar 7, 2017
18
7
Hata siku moja sijapata kuona mkichangia mada yoyote au kutoa challenge bungeni ,au mlikwenda kutalii kule ??

Au mnataka kusema majimbo yenu hayana matatizo na changamoto ?
Kiukweli siwaelewi mlikwenda bungeni kufanya nini.
f7e2fb13940b31ba5bfa1d9cd0860563.jpg
 
Mabunge ya Kagera karibu yote ni Makatoliki....
Unategemea Mkatoliki umpe uongozi halafu alete maendeleo...
Korea kusini wasingetuacha hivi leo.
Adui wa maendeleo wa nchi hii ni Wakatoliki
Duh..........Nahisi unazungumza vice versa! Ila najua Jarson Rwekiza (mmiliki wa shule za st anne marie mbezi kwa msuguli ni mlutheri (jimbo la bukoba vijijini... Sina hakika sana na jimbo) ila hili la wakatoliki na uadui wa maendeleo utakuwa hauko serious
 
Mabunge ya Kagera karibu yote ni Makatoliki....
Unategemea Mkatoliki umpe uongozi halafu alete maendeleo...
Korea kusini wasingetuacha hivi leo.
Adui wa maendeleo wa nchi hii ni Wakatoliki
Hili ni jambo kubwa sana, (very serious) umeamua kulisema.
Naomba ukae vizuri ulete thread mpya yenye title ya: Jinsi ukatoliki na maendeleo visivyoenda pamoja
Bila hivyo mie nakuona kama mlevi tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom