Wabunge wanawake wa Kenya walivyo na ukakamavu kwenye Mambo ya msingi kuhusu nchi yao.

Mange kimambi sio mbunge, na ana hakuikimbia nchi, ni mmarekani aliukana uraia wa Tz, ila ww jamaa bhana, duh.

Wapi nimesema ni mbunge, halafu unataka kutuongopea Mange leo hii anaweza kuinga Tz na mcheke naye,
 
Kiwango Cha umasikini Kenya kimepungua kwa kiasi kikubwa ndio maana Kenya na wakenya ni mido inkamu,pili Kenya hakuna ukabila maana wakenya wanaoana na hata kuajiriana kungekua na ukabila hayo hayangewezekana Yale tulionayo ni tofauti za kisiasa na hayo hutendeka kote ulimwenguni ,tatu ufisadi upo kwenu hadi malangoni mwa ikulu juzi jiwe kamtengua CAG kwa sababu kasema ukweli ,zile 1. 5 trillion zilienda wapi? Wakenya wanamiliki ardhi na mkenya Ana Uhuru wa kununua ardhi popote na aishi .
We kunguru lazima ni mkikuyu
 
Hahahaha, kimepungua ktk makaratasi lakini hali ya maisha inazidi kuwa mbaya.
 
Wapi nimesema ni mbunge, halafu unataka kutuongopea Mange leo hii anaweza kuinga Tz na mcheke naye,
Thread inaongelea wabunge. Na mange lazima ashughulikiwe kisawasawa, yule anapaswa kuisahau Tz, though husema amei miss. Sababu ni uzushi na matusi mengi aliyoyafanya mtandaoni hadi kutaka kuanzisha maandamano, yule ni mtuhumiwa plain and simple and she knows that, sasa hivi kama unamfuatilia unaweza ona adabu ilivyomshika, walomtumia wamemharibia, imekula kwake.
 
Mange ndo mbunge wa wapi
 
Kazi nzuri inayofanywa na wabunge wa kitanzania ndio maana yule mbunge kasema wafanyikazi wa ATCL hawana mvuto.
 
Back
Top Bottom